CHADEMA wateka Bunge

Kwa kweli alichoongea Lissu kina mantiki sana lakini kuongea na kushindwa kutetea ulichoongea ni udhaifu mkubwa wa Lissu. Kwani kwa mtu makini anaweza kusema kuwa alikuja kusoma tu pale lakini waliotunga hotba ile hawakuwepo pale. ndio maana alipomaliza tu kuisoma. Chadema wote wakatoka nje.

Suala langu kwanini wasibakie pale kuitetea hoja zao katika Hotba ao bungeni. Je waliogopa nini kupigania hotba yao bungeni na kuleta uelewa zaidi kwa wananchi ambao waliendelea kusikiliza upande mmoja.

Hakika Chadema ni wazuru wa kuandika lakini dhaifu wa Kutetea. Nachelea kusema hii ni pengo la kukosekana kwa Mh Zitto Kabwe na Shibuda bungeni. Kwani hawa siku zote wana mawazo mbadala na wanawaongoza wenzao vizuri.
 
Wameua azimio la Arusha viongozi wanatumia nafasi zao kujilimbikizia mali RICHMOND,DOWANS, KAGODA, MEREMETA Mikataba Mibovu ya Madini, Kuuza nyara za taifa kimagendo hizo ndizo sera za CCM zinazotetewa na Bw. Sendeka bungeni ili kumuenzi na kumheshimu baba wa Taifa. KUENI NA JAPO CHEMBE YA AIBU MPHH! MNANUKA
 


ukomavu kama huu ndio dawa ya ccj na ccm,safi sana kijana kwa kuleta ushahidi kamili hapa jamvini.sendeka ni walewale maskini wa hoja isipokuwa majina tu
 
Lissu kweli anawakosesesha raha magamba


Kwa kusema ukweli hata mimi ni CCM ila huyu jamaa LISU tupende tusipende ni kichwa, atasumbua sana vichwa vya wakubwa, hilo tunaliona, anajua anachoongea, amedhubutu kuongea kitu ambachop sisi makada tumeshindwa kukiongea either kwa uoga au kulinda maslahi yetu na ya chama chetu sio ya wananchi!!! wanaccm wenzangu nawaomba msome hotuba ya lisu kwa umakini tena mkiwa mmetulia, mtagundua kitu, mtagundua kuwa huu muungano ni mnyororo tuliovishwa tuisoujua na unaotuumiza bila kuwa na maslahi yeyote ya kiuchumi ispokuwa tu ya kisiasa!! dunia ya leo inaangalia uchumi sio siasa. tunahitaji siasa inayotumia uchumi sio uchumi unaotumika siasa!!!! Tundu lisu yuko sawa ila nina wasiwasi kama ni watz wangapi watamwelewa
 
Pipoz powa!
Leo nilikuwa namwambia rafiki yangu askari polisi kuwa, mnaendelea kutunyanyasa kwa ajili ya kulinda maslahi ya mafisadi, hamjui kuwa mna endelea kutengeneza chuki kati ya raia na polisi? siku pakichimbika polisi mtaumia zaidi!

BRAVO LISU ELIMISHA WATZ MAKE KWA MFUMO WETU HUU, WATU WAKO USINGIZINI, WALA HAWAJUI HAKI ZAO
 

Azimio la Arusha lilizaa Ulanguzi na ndio mwendelezo wake huo mpaka kufikia ufisadi
 
Elimu haipimwi kwa mtu kuamini kile ambacho wewe unataka akiamini, kila mtu anamawazo yake na si kila kilichopendeza mwanzo basi ilazimishe kupendeza mpaka sasa hata kama hakina tija.
 


Huyu bwana huo umri ni sahihi au vipi?? Jamaa anaonekana mzee (above 55) au alianza darasa la kwanza na miaka 17??

Halafu hiyo Community development course ndiyo nini??
 
Sometimes JK uwa anatumia viakili vyake kidogo mithili ya panzi kuwaza mana alipata kunena kuwa kulikon Lissu kuwa mbunge ni bora Dr Slaa kuwa rais. Sasa ona hao magamba wanavyoangaika badala ya kudeal na issues wao wanadeal na events
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…