Jamani, lazima tuwe honest, hivi kweli Ole Sendeka ni mtu wa kupima elimu yake na ya Lissu? Yaani baba mzima unajikosha na kujificha kwenye Ukuta wa Mwl Nyerere. Who is Nyerere ambaye hapaswi kuelezewa mabaya yake? Ukiwa mpambanaji lazima uwe tayari kukosolewa lakini sioni upambanaji wa Sendeka ila naona pumba zilizokubuhu.
Nyie kiboko yenu ni godfrey dilunga wa raiamwema.MTAACHA LINI KUTAFUTA UMAARUFU WA KIJINGA?.
CCM WANASEMA WABUNGE WA UPINZANI WAKO WACHACHE SANA NA WAKIPEWA NAFASI WATALIPOTOSHA TAIFA NA KULIPELEKA KWENYE MACHAFUKO MAKUBWA, wanasema njia ya kuwadhibiti chadema na nccr ni kuhakikisha wanaupitisha mswadawapinzani wachache waliopo bungeni wakipewa nafasi ya kusikizwa itaokoa maafa yanayoweza kutokea.watanzania wa leo wamebadilika kutokana na nguvu ya taarifa 'power of information' itumike busara ya hali ya juu kufanya maamuzi kabla ya kuja kujuta baadaye.
Tundu Lisu ana makosa gani kueleza mabaya ya Nyerere? Kwani Nyerere ni Mungu? Kwani kila kitu alichokifanya Nyerere kilikuwa ni sahihi? Hata Nyerere mwenyewe alipata kukiri kuwa katika utawala wake alifanya na makosa kwa vile yeye sio malaika! Hiyo kauli iliwapita CCM kushoto? Sasa Nyerere amekuwa kanuni ya imani? Iwapo ccm wanamuenzi Nyerere mbona siasa ya ujamaa wameizika? Unafiki mtupu!
Nop, Nyerere sii Mungu na hajawahi kupenda kuabudiwa! Mungu ni Slaa. mnaye muabudu..
Jamani let us be serious hivi Ole Sendeka ambaye hajawahi kusoma hata LLB 101, leo hii kweli mbele ya
Bunge anajitapa kwamba anaweza kumfundisha lawyer Tundu Lissu graduate law? This is Only Possible in
Tanzania Parliament!
Yale yale ya UPE, STD VII failure anakwenda kufudisha shule ya msingi. Ole Sendeka is still living in that age.
No wonder hajui hata chama chake CCM kimezaliwa lini. Anachakachua kwamba eti alikuwa chairman wa
UV-CCM 1975. Wakarti dunia nzima inafahamu CCM ilizaliwa 1977. Ubunge wake kwanza unaweza kufutwa
kwa kosa hilo (udanganyifu) refer kesi ya Kihiyo wa Temeke.
Shame on your masaburi Ole Sendeka