Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,791
- 34,792
Umekula kweli asubuhi hii au bado una hangover?Hali si shwari kwa upande wa wenzetu huko mitaa ya ufipa. Kundi la mwenye chama linasema Lissu ana nguvu sana na anatishia kiti.
Kundi la Lissu nalo halipo nyuma Ila wanaogopa kuitwa wasaliti. Hata Lissu alipoondoka walishindwa kumsindikiza pale airport Kama ilivyo kawaida yao.
Chama kilishindwa kutoa hata taarifa kwa umma kuhusiana na safari hiyo ya makamu mwenyekiti. Ni vyombo vya habari ndio vilikuja kuujulisha umma. Hii imemuweka pabaya sana Lissu na asijue cha kufanya.
Kuna viongozi wengine wanasema amesusa sababu ya kukosa ushirikiano kipindi amerudi nchini.
Sasa kuna kila dalili inaonyesha anaandaliwa zengwe. Swali la Msingi je Wataweza kumfukuza??
Niliwaambia kwamba Kwa Sasa Mikutano ya Chadema ni Kwa Ajili ya Kumpamba Mbowe aendelee kugombei ila Sasa baadhi ya wanachama hawataki wao wanataka harakati za Lisu nkHali si shwari kwa upande wa wenzetu huko mitaa ya ufipa. Kundi la mwenye chama linasema Lissu ana nguvu sana na anatishia kiti.
Kundi la Lissu nalo halipo nyuma Ila wanaogopa kuitwa wasaliti. Hata Lissu alipoondoka walishindwa kumsindikiza pale airport Kama ilivyo kawaida yao.
Chama kilishindwa kutoa hata taarifa kwa umma kuhusiana na safari hiyo ya makamu mwenyekiti. Ni vyombo vya habari ndio vilikuja kuujulisha umma. Hii imemuweka pabaya sana Lissu na asijue cha kufanya.
Kuna viongozi wengine wanasema amesusa sababu ya kukosa ushirikiano kipindi amerudi nchini.
Sasa kuna kila dalili inaonyesha anaandaliwa zengwe. Swali la Msingi je Wataweza kumfukuza??
Umesema ukweli kabisa, Wanachama wa Chadema hawamtaki mbowe wanataka harakati za lissuna ndio maana mbowe huanza kwa kusema "ninajua wapo ambao hamtakubaliani na mm kwenye hili...." Hapo akiwa anataka kuzungumzia maridhianoNiliwaambia kwamba Kwa Sasa Mikutano ya Chadema ni Kwa Ajili ya Kumpamba Mbowe aendelee kugombei ila Sasa baadhi ya wanachama hawataki wao wanataka harakati za Lisu nk
Huko lumumba na serikali yako ndio wanaofanya hayo.Lisu-mapenzi ya jinsia moja
Hawawezi
Chadema siyo mtu ni brand
Walikuwepo akina Dr Kaborou, Dr Slaa nk......wakaondoka na Chadema bado
Mchawi hudhani watu wote ni wachawi. Vivyo hivyo kwa mwizi na mashoga pia.Lisu-mapenzi ya jinsia moja
Ukweli utajulikana tuLabda ndani ya chama kuna "wasiojulikana". Aliwakimbia mapema.
CHAWA-TA mmetia Timu tayari. Eee Mbowe ni wa kufa na kuzikaba!!Umekula kweli asubuhi hii au bado una hangover?
Zile 16 zote ni kutoka chamani.Labda ndani ya chama kuna "wasiojulikana". Aliwakimbia mapema.
safari ya lisu syo ya ki chama, safari binafsi halafu chama kimsindikize na kutoa press[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] nahisi ubongo wako una hitilafuHali si shwari kwa upande wa wenzetu huko mitaa ya ufipa. Kundi la mwenye chama linasema Lissu ana nguvu sana na anatishia kiti.
Kundi la Lissu nalo halipo nyuma Ila wanaogopa kuitwa wasaliti. Hata Lissu alipoondoka walishindwa kumsindikiza pale airport Kama ilivyo kawaida yao.
Chama kilishindwa kutoa hata taarifa kwa umma kuhusiana na safari hiyo ya makamu mwenyekiti. Ni vyombo vya habari ndio vilikuja kuujulisha umma. Hii imemuweka pabaya sana Lissu na asijue cha kufanya.
Kuna viongozi wengine wanasema amesusa sababu ya kukosa ushirikiano kipindi amerudi nchini.
Sasa kuna kila dalili inaonyesha anaandaliwa zengwe. Swali la Msingi je Wataweza kumfukuza??
Huyo ni public figure!! Hakuna wakati utamtenganisha na kazi za Chama!! Tatueni migogoro kabla moto haujawakasafari ya lisu syo ya ki chama, safari binafsi halafu chama kimsindikize na kutoa press[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] nahisi ubongo wako una hitilafu
Mbowe akienda Dubai mbona chama kinatoa taarifa? Huu ubaguzi mnaomfanyia Lissu sababu nini?safari ya lisu syo ya ki chama, safari binafsi halafu chama kimsindikize na kutoa press[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] nahisi ubongo wako una hitilafu