calm down,
ni muhimu zaidi kuzingatia maoni ya waTanzania wote nchini na kupuuzia hao waropokaji wa kuchochea fujo na migawanyiko.
wakagawanye familia zao ambazo wengine ziko nje ya nchi, wakagawanye vyama vyao vya siasa kilofa kama kawaida yao, wakagawanye makanisa na miskiti yao na sio kubugudhi au kuwahadaa waTanzania π