kuna hatari huo ukawa ndo mwanzo wa kupata viongozi wabovu,navyowajua wabongo hizo paper zitaibiwa tu.....unahitajika mfumo uliotulia kudhibiti haya yote
Ni jambo zuri kama wataletwa wasimamizi kutoka EU. Bila shaka wameona utumbo wa wabunge wao kwenye bajet. Mtu kama sugu kweli unampa ubunge? Si bora hata ya diamond au chidi kuliko huyu failure wa kila kitu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.