CHADEMA wataka wabunge 2015 kufanya mtihani

CHADEMA wataka wabunge 2015 kufanya mtihani

hiyo mitihani itafannyika wakati wa kampeni, kabla ya siku ya uchaguzi mkuu au baada ya kushinda uchaguzi majimboni? hilo nalo muhimu kuzingatia, na pia itakuwaje mbunge akishinda katika uchaguzi na akafeli huo mtihani, kuna kuReseat, SUP? carry?
 
ASIFU WA LUKOSI
1.
Huyu jamaa alikuwa polisi akafukuzwa sababu ya ajali katika msafara wa pm wakati ule John Malecela na kukimbilia Botwana kwa dada yake ambaye ni Nurse.2
2.Lukosi alifuatana na dadake nchini uk baada ya kupata kazi uk nayeye alipata nafasi ya kuambatana naye uk.
3.Lukosi alipata nafasi ya kujifanya mkimbizi na kuukana utanzania pamoja na porojo zake yeye uk anafahamika kama mkimbizi wa kisiasa na njaa.
4. Lukosi alipata kazi ya kuwa traffic warden kwa bahati mbaya alipata ajali ambayo ilimfanya adhurike kichwani alilazwa kwa muda mrefu na aliathirika na ajali ile kichwani.Kampuni aliyokuwa akiifanyia kazi ilimlipa malipo kutokana na ajali hiyo,na baada ya muda aliacha kazi na kuanza biashara.
5 Lukosi alianza biashara za kupeleka magari mabovu Tanzania na baiskeri za wizi kutokea maeneo ya barking&dagenham na baada ya muda alianza biashara nyingine ambazo wengi wanazijua.
6 Lukosi alijaribu kujiingiza kwenye siasa baada ya kukutana na mbunge Lema jijini London,na nia kubwa akifikiri atapata tender za kusafirisha mizigo na magari ya chadema.Alipewa nafasi kukaa hotelini kwa mzee ndesambulo jijini Dar kwa week moja free of charge.
7 Baada ya kukosa tender hiyo Lukosi alirudi ccm ambapo hajawahi kuwa mwanachama uk,na alianza kashfa nyingi kuhusu chadema na hii ni kutokana na waajiri wake wa biashara (sizisemi) kutoka Tanzania ambao ni wafadhiliwa na ccm kutokana biashara hizo.Ametumia muda mwingi mtandaoni ili wamkubali kuwa katoka chadema na anaichafua.
8 Kashfa aliyoitoa kwa mbunge Lema kuhusu kubaka huko London,kwa taarifa za uhakika yule dada ni muathirika wa VVU na alikuwa ni mpenzi wake LUKOSI kwa muda.
Tumdharau Lukosi kwa sababu ana ugonjwa wa pressure na inasemekana ni muathirika wa vvu si mwana siasa ila ni stress zinamsumbua naomba kutoa hoja

hii paper makamanda wataikimbia. wasituandikie bongo fleva.

makamanda wakisikia necta ni mbio tu.
 
kuwa Mbunge Ufanye MTIHANI????? au nimesikia vibaya? Hivi huo mTihani utaandaliwa na nani? Chama au wananchi? sijui utakuwa ni wa nini CIVICS au manake matakwa ya wanachi ni kama ukubwa wa DUNIA lol!! anyway kuishi kwingi kuona mengi huenda tukapata kitu kipya kuingiza kwenye GUINESS book kama ilivyo kwa aina ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambapo hadi leo wazungu hawajui inakuwaje umedumu kiasi hiki!!. na hisia kuwa huu utakuwa wizi wa demokrasia, tafakari....

Unataka ujue kabisa ili uandaliwe standadization au?.
 
Is this constitutional? Katiba ya CDM inazungumzia hii paper? Angalieni, watu watapiga paper wakifeli wanawahi kotini! Kumbuka Grade A students husomea Udaktari, Uhandisi, Sheria n.k., Grade B hujiajiri wenyewe na kufanya biashara zao, Grade C hujiunga na vyama vya siasa na kuwatala Grade A na B. Hakuna shaka paper ikisetiwa vizuri, wengi 'watazungusha'. Mjiandae pia kupambana na udanganyifu mf. Madesa, mig, mimba n.k.

Hujafanya research kwa hayo uliyojaribu kuongelea....nakumbuka kuna mwaka Division one kali za PCB na PCM walienda kusoma B.com na leo hii wapo kwenye siasa....na kuna rafiki zangu ni Madaktari bugando...leo hii ni wanachama wa CDM mwanza!
 
hahahaha..kuna hatari hata viongozi wakuu wasipite hehehe

...umeona eeh, labda kama Mbowe atatunga paper mwenyewe na kujisahishia mwenyewe, ila ikitungwa na sampuli ya Baregu, hapa atalala chali tu...
 
Makamanda naona sasa wengi watakimbia kugombea ubunge maana paper linatisha aisee

Napendekeza paper lisahishwe na Dr.Ndalichako itakuwa poa zaidi!

...Naunga mkono hoja, bodi ya mtihani uwe iweindependent kabisa, na isiyofungamana na uongozi wa Chadema wala wa kisiasa nchini...
 
ASIFU WA LUKOSI
1.
Huyu jamaa alikuwa polisi akafukuzwa sababu ya ajali katika msafara wa pm wakati ule John Malecela na kukimbilia Botwana kwa dada yake ambaye ni Nurse.2
2.Lukosi alifuatana na dadake nchini uk baada ya kupata kazi uk nayeye alipata nafasi ya kuambatana naye uk.
3.Lukosi alipata nafasi ya kujifanya mkimbizi na kuukana utanzania pamoja na porojo zake yeye uk anafahamika kama mkimbizi wa kisiasa na njaa.
4. Lukosi alipata kazi ya kuwa traffic warden kwa bahati mbaya alipata ajali ambayo ilimfanya adhurike kichwani alilazwa kwa muda mrefu na aliathirika na ajali ile kichwani.Kampuni aliyokuwa akiifanyia kazi ilimlipa malipo kutokana na ajali hiyo,na baada ya muda aliacha kazi na kuanza biashara.
5 Lukosi alianza biashara za kupeleka magari mabovu Tanzania na baiskeri za wizi kutokea maeneo ya barking&dagenham na baada ya muda alianza biashara nyingine ambazo wengi wanazijua.
6 Lukosi alijaribu kujiingiza kwenye siasa baada ya kukutana na mbunge Lema jijini London,na nia kubwa akifikiri atapata tender za kusafirisha mizigo na magari ya chadema.Alipewa nafasi kukaa hotelini kwa mzee ndesambulo jijini Dar kwa week moja free of charge.
7 Baada ya kukosa tender hiyo Lukosi alirudi ccm ambapo hajawahi kuwa mwanachama uk,na alianza kashfa nyingi kuhusu chadema na hii ni kutokana na waajiri wake wa biashara (sizisemi) kutoka Tanzania ambao ni wafadhiliwa na ccm kutokana biashara hizo.Ametumia muda mwingi mtandaoni ili wamkubali kuwa katoka chadema na anaichafua.
8 Kashfa aliyoitoa kwa mbunge Lema kuhusu kubaka huko London,kwa taarifa za uhakika yule dada ni muathirika wa VVU na alikuwa ni mpenzi wake LUKOSI kwa muda.
Tumdharau Lukosi kwa sababu ana ugonjwa wa pressure na inasemekana ni muathirika wa vvu si mwana siasa ila ni stress zinamsumbua naomba kutoa hoja

...kweli wewe mwezi mchanga, hii inahusiana vipi na "Chadema Wataka Wabunge 2015 Kufanya Mtihani"?...
 
Hujafanya research kwa hayo uliyojaribu kuongelea....nakumbuka kuna mwaka Division one kali za PCB na PCM walienda kusoma B.com na leo hii wapo kwenye siasa....na kuna rafiki zangu ni Madaktari bugando...leo hii ni wanachama wa CDM mwanza!

wakuu akili ya darasani ni tofauti na akili ya kuongoza WATU!! msichanganye mambo hapa!!! au ndo mmesoma hadi akili zimepitiliza? Hii ishu kama ni kweli ndo yale yale ya CCM hata kama wananchi wamekuchagua sie tunapiga mchujo kwenye kamati kuu, then wht is happening now? THINK BIG!!!!! for TZ, kw kifupi mbunge wangu nimchague mimi sio kuchaguliwa na Kikwete au Slaa + nyumba zao ndogo!!!............!!!!!!:mmph:
 
Sasa kama wewe uko fresh unaogopa nini, tena mimi ningependa waombaji wawasilishe Paper wa present kweli wawe vichwa. Hatutaki watu wa matusi kama Mwigulu na Nchemba
 
Baban,

Sawa ila mi naona hii imekaa vibaya si vizuri kuwasema watu kihivyo, inatakiwa tu kumchokoza lakini si kumdhalilisha.
PLEASE STOP
 
Napendekeza format ya mtihani iwe hivi
Elimu ya Uraia - 15mks
Ufahamu Sera ya CDM 15 mks
Siasa za Tanzania kwa ujumla 15mks
Elimu kuhusu mambo mbalimbali (IQ test) 20mks
Uelewa siasa za nje / Uhusiano wa kimataifa (section hii iwe ni kwa Kiingeleza) 35 mks

Pass Mark napendekeza iwe 61
 
Hofu kwa Mbunge wangu ambaye Dr. Slaa alimuacha, atafanya kweli hili pepa au ndio mtalaka atambeba tena?
 
Kazi. Kweli Ndio matatizo chama kuongozwa na Ma dj na padri wanakurupuka tu
 
Wakubwa kwa hili la paper, hakika CDM itapaa ila na wasiwasi na Wasomi wa bongo maana, karibu wote vilaza na wamesoeshwa uchawi,UNAFIKI, UWONGO NA MAJUNGU BILA KUSAHAU RUSHWA na ccm MAJI NA SAMAKI.
VIVA CHADEMA KWA HILI DUNIA ITAWAONA MNA AKILI MAANA TUTAWAPATA VIONGOZI WANAOENDANA NA WAKATI CIO WAKINA LUSINDE NA WENZAKE KAZI KUKALIA MAJANGU.
 
Back
Top Bottom