CHADEMA wasusia Interview ya TBC 1

Siku nilipomsikia Kamanda Mbowe akitoa tamko la kuisusia TBC ckushangaa coz humu JF tulishasema mara nyingi kuhusu kuisusia hii taasisi hawapo balanced kabisa, taharifa zao zinaandaliwa pale Lumumba
 
Tbc inaendeshwa kwa kodi za walalahoi kwa manufaa ya ccm na vibaraka wake.
 
Chadema bana kila kitu kususa haya endeleeni kususa lakini mwisho wa siku mtakula.

Muungwana husimamia kauli zake lakini mnafiki hukana, ni kheri kususa kuliko kuwa ndumilakuwili aka mnafiki
 
Inatia kichefuchefu...sielewe ni uoga wa watanzania hadi watangazaji wafikie hatua hiyo au ni njaa.
 
TV ya CCM, waangalie akina NAPE wengine hatujui mara ya mwisho tumeangalia lini
 
TV ya CCM, waangalie akina NAPE, wengine huwa tunaikumbuka kipindi cha bunge live
 

Pole brother!
 
hawana mana kwani cku cii nyingi tbc1 watakuwa wapinzani cdm tv itakua iking'ara ikulu
:shut-mouth:
 
Duu nina siku nyingi sijaiangalia! Tangu uchaguzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…