Kuna zingine umezisahau hapa:
View attachment 1842888
View attachment 1842889
View attachment 1842891
Hata za kubaki na m@vi, kutuliza mat@ko na nyingine ukizikumbuka itapendeza zaidi.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Mlimtukana MWENYEKITI WA CCM katika kampeni za 2020.
Lissu alimshambulia personally mwenyekiti wa CCM...
🤔 Lissu ni ndie alieshambuliwa na Mwenyekiti!Lissu alimshambulia personally mwenyekiti wa CCM.
Ninazungumzia maneno makali, ya dharau, kedi na mashambulizi binafsi kwa hayati JPM. Lissu alimshambulia "personally" kinyume kabisa na kampeni za kistaarabu na za kihoja sishangai watanzania kumpuuza na kumnyima KURA.🤔 Lissu ni ndie alieshambuliwa na Mwenyekiti!
Kama yapi?Maneno makali, ya dharau, kedi na mashambulizi binafsi kwa hayati JPM. Lissu alimshambulia "personally"
Aliongea mengi.Kama yapi?
Maneno makali ni maneno yepi?au siku hizi kusema ukweli imekuwa ndio maneno makali?Aliongea mengi.
Rejea VIDEO CLIPS za kampeni yake.
Kila MTANZANIA makini aliyasikia.