nipo marekani naomba mnielekeze jinsi ya kuwasiliana na nyie tuweze kujenga chama pamoja.
Nimekutumia PM
nimepata PM yake nitawasiliana nayeNimekutumia PM
nipo marekani naomba mnielekeze jinsi ya kuwasiliana na nyie tuweze kujenga chama pamoja.
Jasusi kanitumia PM namba ya ndugu aliye washinton dc nitawasiliana nayeNami nipo hapa New York, Naomba nielekezewe mchakato wa kujiunga.
Jasusi kanitumia PM namba ya ndugu aliye washinton dc nitawasiliana naye
Ila jasusi anaweza kuwatumia pia.
Pamoja tunaweza
Jasusi wewe ni CHADEMA? Na ni founding member wa CHADEMA-DC?
Being against CCM does not necessarily mean being pro-CHADEMA; am I correct?Nyani, wewe unaonaje? I am sure not CCM!
Nawatumieni wote simu ya Libe ili muwasiliane naye na kujua jinsi ya kupata kadi. Ndiyo, kadi zipo na zinapatikana kwa dola kumi. Simu ni 240 423 3331.
acha uhuni wewe... hahahaaa, HAKUNA PENZI NUSU AISEEMimi sitaki kadi wala sitaki kuwa mwanachama wa CHADEMA (au chama chochote kile) kusudi niendelee kuwa unbiased katika kuwapiga madongo wakiboronga, ila ninataka gwanda lao tu kwa sababu ya fashion yake. Je nitalipataje? ninalizimia sana gwanda lile.
Mimi sitaki kadi wala sitaki kuwa mwanachama wa CHADEMA (au chama chochote kile) kusudi niendelee kuwa unbiased katika kuwapiga madongo wakiboronga, ila ninataka gwanda lao tu kwa sababu ya fashion yake. Je nitalipataje? ninalizimia sana gwanda lile.