Chadema wapinzani lakini siyo washindi

mwanadewa

Member
Jul 16, 2010
39
5
Nawashauri ndugu zangu wa CDM waizoee nafasi yao ya kuwa wapinzani, kwani ndiyo inayowafaa. Hawatafanya vizuri wakiwa watawala, sababu ni kwamba hawaoni mazuri ya wenzao na siyo wavumilivu, kwa anayetaka ushahidi ataona baada ya muda mfupi tuu....
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom