jana nilimshuhudia lema kwenye tv akiongea maneno ya kigaidi. EWE MUNGU tunusuru na hiki chama cha kigaidi! washindwe
Wakuu,
CHADEMA wamepanga mpango wa kuvuruga uchaguzi Arusha kwa mbinu ya kitoto na ya kishamba kweli kutumika katika nyakati hizi za kidigitali.
Mpango umesukwa kama ifuatavyo; CHADEMA watakuwa na vijana ambao wamewandaa mahususi kwenye kata zote wakijifanya wapiga kura.
Vijana hao watazua ugomvi mkubwa wao kwa wao huku wakiwa na lengo la kuharibu amani kwenye eneo la uchaguzi na kuvuruga mchakato mzima wa kupiga kura.
Katika hali hiyo RED BRIGADE watavamia kwenye vituo wakijifanya wana lengo la kusaidia, ila wao ndio wamepangwa waibe visanduku vya kupigia kura na watokomee navyo.
CHADEMA si vyema kuharibu mchakato wa uchaguzi, kama wananchi wamewachoka msing'ang'anie!
Red Brigade haianzishwi upya, bali serikali ina pinga mpango wa kuiimarisha.
Wewe mwenyewe umejionea matumizi ya kikundi cha RED BRIGADE yalivyo. Kuvuruga amani tu.
CDM bila mbinu za ziada, leo kushinda haiwezekani!
Na kwa ulinzi ulivyo imarishwa, hii mbinu ya kipuuzi haiwezi kufanikiwa.
Najua Lema ndiye mratibu.
Hiyo amani ipo wapi? labda kama ipo nyumbani kwako
CDM bila mbinu za ziada, leo kushinda haiwezekani!
Na kwa ulinzi ulivyo imarishwa, hii mbinu ya kipuuzi haiwezi kufanikiwa.
Najua Lema ndiye mratibu.
Wewe jana ulini-PM mambo ya ajabu!
Hivi CHADEMA kwanini hamfanyi siasa za kistaarabu?
jana nilimshuhudia lema kwenye tv akiongea maneno ya kigaidi. EWE MUNGU tunusuru na hiki chama cha kigaidi! washindwe