superfisadi
JF-Expert Member
- May 22, 2009
- 553
- 54
Hakuwa ameripoti halmashauri yoyote kwa hiyo ni fresh km mary chatandahe, wabunge wanahamishwa siku hizi? hahaha. huko tuendako, sipati picha mie
Udhaifu wa katiba huu!
Kwa nini wasingefanya hayo hadi watu wamepoteza maisha ndo wanakumbuka shuka. Siasa za kifisadi hizo na tunashindwa kuwatofautisha na CCM.cdm imempeleka mbunge wa viti maalum anna maulida komu kwenye halmashauri ya jiji la arusha Mama huyo mkongwe na mkomavu kisiasa aliripoti ijumaa kwa mkurugenzi wa halmashauri hiyo. Soc. tanzania daima My take sasa cdm wanakuwa na uhakika wa ushindi endapo uchaguzi wa meya utarudiwa
Hajapewa transfer ndiyo kwanza amepangiwa na chama chake kama chitanda anavyosema namna cdm wameamua ccm wamemwaga unga wao wanamwaga mbogaMh. Itafika siku Transfer za wabunge zitakua Kama transfer za waalimu, Jamaa hawa wanaifinyanga sana nchi na akili za watanzania!
Kwa nini wasingefanya hayo hadi watu wamepoteza maisha ndo wanakumbuka shuka. Siasa za kifisadi hizo na tunashindwa kuwatofautisha na CCM.
Yuko halmashauri ya hai ambapo wameshinda uenyekiti wanaiongozaWampeleke na lucy owenya
Hakuwa ameripoti halmashauri yoyote kwa hiyo ni fresh km mary chatanda
Hakuwa ameripoti halmashauri yoyote kwa hiyo ni fresh km mary chatanda
Kama ni hivyo sasa chadema walikuwa wanalalamika nini sasa, bogus kabisa.
cdm imempeleka mbunge wa viti maalum anna maulida komu kwenye halmashauri ya jiji la arusha
Mama huyo mkongwe na mkomavu kisiasa aliripoti ijumaa kwa mkurugenzi wa halmashauri hiyo.
Soc. tanzania daima
My take sasa cdm wanakuwa na uhakika wa ushindi endapo uchaguzi wa meya utarudiwa