CHADEMA waombeni radhi Zitto na Dr. Slaa

CHADEMA waombeni radhi Zitto na Dr. Slaa

Zitto alipotaka uenyekiti akafurushwa na kejeli juu.....sasa Lowasa asiejua machungu ya cdm ilipotokea na hata kufikia hapa....anajipangia mambo tu....na ameshatamka yy ndiye mgombea 2020....katiba na taratibu mbele ya pesa huwa havifuatwi.
 
Huyo Slaa na Zitto kila mmoja alikuwa na umuhimu wakati huo kama ilivyo Sumaye na EL kwa ccm kila linayemshinda la kundi lake ni kuondoka na umihimu wako unakoma kwa Chadema ni chama na hao wameondoka ni waasi tu kwa tafsiri kutoka kwao hakupunguzi lolote kama ndiyo kipimo chako
 
Usihangaike kuwapa ELIMU magamba huwa hayaelewi kazi yao ni ushabiki hata bila sababu za msingi .

Wahangaike na chama chao cha dhulma si CDM
 
Mbona wao hawakutuomba radhi walivyoamua kutusaliti??
 
Jiulize..vyama vyote vikubwa vya upinzani vimeungana lakini matokeo ndo kama tulivyoyaona....si bure, hii ni laana tena kubwa sana
Laana ni ule uongozi ambao hawakumuogopa hata Mungu wao.Waliiba mpaka sukari ya Ikulu.
 
Baada ya kuanza kuporomoka kwa kasi ya Ajabu, ni ushauri wa bure kabisa kwa CDM kuwaomba radhi Dr Slaa na Zitto kwa kuwadhalilisha kwa tamaa ya mapesa. Mkipuuza Laana itawaandama! Katibu Mkuu sijui mtampata lini maana Siku zaenda . Safari hii asitoke Kanda hiyo Kama kweli siyo Chama cha kikabila na kikanda.
Wewe Chadema inakuhusu nini?
inapolomoka kama Act?
mbona huoni ccm wanavyoporomoka?
wasaliti hawana nafasi Chadema aende kwa Mwakyembe atampa kazi.
 
Baada ya kuanza kuporomoka kwa kasi ya Ajabu, ni ushauri wa bure kabisa kwa CDM kuwaomba radhi Dr Slaa na Zitto kwa kuwadhalilisha kwa tamaa ya mapesa. Mkipuuza Laana itawaandama! Katibu Mkuu sijui mtampata lini maana Siku zaenda . Safari hii asitoke Kanda hiyo Kama kweli siyo Chama cha kikabila na kikanda.
Hujui kitu kaa kimya
 
Nimeshangaa madiwani na wabunge wa Ukawa Jiji la Dar wakimshukuru Lowasa kwa kuwapa Meya wa Jiji ,huu ni upuuzi na ujinga wa hali ya juu.

Hii ni dharau na kashfa kwa wakazi wa Dar. Badala ya kwenda kuwashukuru wananchi waliowapigia kura wanaenda kumshukuru Lowasa binafsi ....

Nimekuwa mpigakura tangu mwaka 1995 na Mara zote kura yangu ilienda kwa vyama vya upinzani,95 nilimchagua Mrema,2000 nilimchagua Lipumba,2005 nilimchagua Lipumba,2010 nilimchagua Dkt.Slaa na 2015 nilimpigia kura Mh.Lowassa.Ni mwendawazimu tu asiyetaka kuutambua mchango wa Mh.Lowassa kwenye Uchaguzi uliopita.Pamoja na hila zote za Chama tawala kwani ni dhahili wasingeweza kuachia madaraka hata kama wangekataliwa nchi nzima na hili linadhihirishwa na yaliyotokea Zanzibar,lakini bado Mh.Lowassa aliweza kupata kura 6,000,000+.

Kumbuka hizo ni kura alizopewa na tume ya uchaguzi Maana si kura halali alizozipata kutokana na maamuzi ya Watanzania.Kitendo cha madiwani hao kwenda kumshukuru Mh.Lowassa kinatokana na imani yao kwake kuwa ushawishi wake ulichangia kuwafikisha hapo walipo.Kama in suala la wapigakura wao watatafuta fursa ya kuwashukuru kwani muda wa kufanya hivyo bado wanao.Mnyonge mnyongeni,lakini haki yake mpeni.
 
KUMBE WEWE ZEZETA KABISA. KWELI ULITEGEMEA LOWASSA APEWE NCHI NA KUWA RAIS???? URAIS NI NAFASI ADHIMU HAIWEZI KUTOLEWA KWA FISADI ANAYETUMIA NGUVU YA PESA KUINGIA IKULU.
 
KUMBE WEWE ZEZETA KABISA. KWELI ULITEGEMEA LOWASSA APEWE NCHI NA KUWA RAIS???? URAIS NI NAFASI ADHIMU HAIWEZI KUTOLEWA KWA FISADI ANAYETUMIA NGUVU YA PESA KUINGIA IKULU.

Ni kweli mimi ni Zezeta,lakini yawezekana Wewe ukawa zezeta zaidi,hao unaowashabikia miaka yote wanapata uongozi kwa kuliibia Taifa.95% ya kasha zote za ufisadi ni fedha zilizochotwa ili kukisaidia CCM katika Kampeni za uchaguzi.

Ni fedha ya Escrow na ufisadi katika sekta ya Baranara ndiyo vilivyomfikisha mtu wako Ikulu,unalifahamu hilo ewe punguani wa Lumumba?

Huyo unayemshabikia ana usafi gani wa kuweza kumnyooshea kidole mwingine?Yawezekana umeanza kuishabikia siasa jana na hujawahi kuwa na nafasi yoyote Serikalini ndiyo maana huna uelewa wowote wa masuala yahusuyo utawala.
 
Hivi bado buku7 inatolewa Lumumba hadi sasa...?!?
 
Linganish
Ushindi aw CDM kupitia UKAWA ulichangiwa na vijana wasiojitambua waliodhani Lowassa atawapa riziki bila kufanya kazi. Wakapata mihemko ya akili wakafikia kusema hata jiwe watalichagua lakini siyo CCM. Wakipata Elimu ya URaia kipindi hiki hawatazungusha mikono wala kudeki barabara bali watachagua Chama Makini na Mgombea Makini
Linganisha nilicho andika na unachokipinga kama vinafanana! Iwe vyovyote vile, iwe ni Lowassa, iwe ni muungano wa vyama hata waka form Ukawa, iwe ni uelewa wa hao vijana uliowasema, point yangu inabaki hapa! "Naomba kujua kipimo cha mleta UZI kwamba Chadema inaporomoka wakati tokea mfumo wa vyama vingi umeanza hawajawahi kua na wabunge wengi kama mwaka hu" na "Tokea uhuru haijawahi kutokea majiji yote (kasoro Tanga) yawe chini ya upinzani na hasa Chadema kama mwaka hu" Hapo ndio useme hicho chama kinaporomoka? Umetumia kigezo gani kusema hivyo? Hilo ndilo nililotaka kulijua from any of you guys.
 
Back
Top Bottom