CHADEMA waombeni radhi Zitto na Dr. Slaa

Gangongine

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
3,854
1,776
Baada ya kuanza kuporomoka kwa kasi ya Ajabu, ni ushauri wa bure kabisa kwa CDM kuwaomba radhi Dr Slaa na Zitto kwa kuwadhalilisha kwa tamaa ya mapesa.

Mkipuuza Laana itawaandama! Katibu Mkuu sijui mtampata lini maana Siku zaenda. Safari hii asitoke Kanda hiyo Kama kweli siyo Chama cha kikabila na kikanda.
 
Baada ya kuanza kuporomoka kwa kasi ya Ajabu, ni ushauri wa bure kabisa kwa CDM kuwaomba radhi Dr Slaa na Zitto kwa kuwadhalilisha kwa tamaa ya mapesa. Mkipuuza Laana itawaandama! Katibu Mkuu sijui mtampata lini maana Siku zaenda . Safari hii asitoke Kanda hiyo Kama kweli siyo Chama cha kikabila na kikanda.
Unashauri atoke wapi? Huo ndio ikaburu
 
Zito ana chama chake ...kama unampenda mfuate huko ukanywe naye chai.....

Dr Slaa hajafukuzwa ...amejitoa mwenyewe kwa ridhaa yake...akitaka kurudi arudi kwa ridhaa yake
 
Hivi katiba ya chadema inasema siku 90 baada ya kuachia ngazi,kufariki ama kufukuzwa kwa katibu au m/kiti nk inatakiwa ijazwe nafasi hiyo je siku 90 hazijatimia au kuna maamuz magumu yanakuja tusubiri tuone nin???
 
Nimeshangaa madiwani na wabunge wa Ukawa Jiji la Dar wakimshukuru Lowasa kwa kuwapa Meya wa Jiji ,huu ni upuuzi na ujinga wa hali ya juu.

Hii ni dharau na kashfa kwa wakazi wa Dar. Badala ya kwenda kuwashukuru wananchi waliowapigia kura wanaenda kumshukuru Lowasa binafsi ....
 
Jiulize..vyama vyote vikubwa vya upinzani vimeungana lakini matokeo ndo kama tulivyoyaona....si bure, hii ni laana tena kubwa sana
 
Kwa ujumla sielewi wengine hua wanatumia kipimo gani kusema Chadema inaporomoka; mwenye kulijua hilo naomba anifafanulie. Kabla hapo tena tokea uhuru majiji yote yalikua yanaongozwa na ccm, kwasasa hawa jamaa wanaongozo majiji yote hapa nchini kasoro Tanga halafu useme chama kinaporomoka? Tokea mfumo wa vyama vingi ni NCCR mageuzi ndio wamewahi kua na wabunge wengi (mwaka 1995-2000) Chadema kimewazidi kwa mbali sana halafu leo niambiwe kinaporomoka? sielewi kwakweli, labda hili neon lina maana tofauti na ninayoijua.
 
Ushindi aw CDM kupitia UKAWA ulichangiwa na vijana wasiojitambua waliodhani Lowassa atawapa riziki bila kufanya kazi. Wakapata mihemko ya akili wakafikia kusema hata jiwe watalichagua lakini siyo CCM. Wakipata Elimu ya URaia kipindi hiki hawatazungusha mikono wala kudeki barabara bali watachagua Chama Makini na Mgombea Makini
 
Baada ya kuanza kuporomoka kwa kasi ya Ajabu, ni ushauri wa bure kabisa kwa CDM kuwaomba radhi Dr Slaa na Zitto kwa kuwadhalilisha kwa tamaa ya mapesa. Mkipuuza Laana itawaandama! Katibu Mkuu sijui mtampata lini maana Siku zaenda . Safari hii asitoke Kanda hiyo Kama kweli siyo Chama cha kikabila na kikanda.
Kuporomoka kupi unakozungumzia wakati Chama kina Wabunge wengi kuliko kipindi hao wasaliti wako??
Kuporomoka ndio kukamata Halmashauri za Ilala na Kinondoni??
Kuporomoka ndio kuiachia CCM majimbo mawili tu ya Mkoa wa Moshi kati ya Majimbo Tisa??
Kuporomoka ndio kuchukua majimbo yote ya Udiwani Arusha kasoro moja tu??
 
Naona Zitto kawatuma wafuasi wake sijui leo atawalipa shilingi ngapi.
 
Hivi katiba ya chadema inasema siku 90 baada ya kuachia ngazi,kufariki ama kufukuzwa kwa katibu au m/kiti nk inatakiwa ijazwe nafasi hiyo je siku 90 hazijatimia au kuna maamuz magumu yanakuja tusubiri tuone nin???

Hali ni ngumu kwasababu unapofanya badiliko lolote ktk taasisi uwa uma weka beta expectation au una add thamani kutoka ile ya mwanzo. Sasa hadi sasa hawajapata mtu wa kugusa level ya Dr. Slaa hata 2.5% hakuna.
 
Hivi katiba ya chadema inasema siku 90 baada ya kuachia ngazi,kufariki ama kufukuzwa kwa katibu au m/kiti nk inatakiwa ijazwe nafasi hiyo je siku 90 hazijatimia au kuna maamuz magumu yanakuja tusubiri tuone nin???
Hajafukuzwa wala hajafariki yupo!
 
Baada ya kuanza kuporomoka kwa kasi ya Ajabu, ni ushauri wa bure kabisa kwa CDM kuwaomba radhi Dr Slaa na Zitto kwa kuwadhalilisha kwa tamaa ya mapesa. Mkipuuza Laana itawaandama! Katibu Mkuu sijui mtampata lini maana Siku zaenda . Safari hii asitoke Kanda hiyo Kama kweli siyo Chama cha kikabila na kikanda.
Toka lini wana ccm mkawa washauli wa Cdm,
 
Nimeshangaa madiwani na wabunge wa Ukawa Jiji la Dar wakimshukuru Lowasa kwa kuwapa Meya wa Jiji ,huu ni upuuzi na ujinga wa hali ya juu.

Hii ni dharau na kashfa kwa wakazi wa Dar. Badala ya kwenda kuwashukuru wananchi waliowapigia kura wanaenda kumshukuru Lowasa binafsi ....
Lowassa kawa mungu mtu.....taasisi sasa ni one man show.....
 
Back
Top Bottom