CHADEMA wanuna Zitto kwenda CUF

Mbona umeficha jina la hilo gazeti? Au ni kwa sababu unajua watu watahoji credibility ya hilo gazeti? Usituletee habari za magazeti uchwara hapa.
UMMA Tanzania
 
IQ yako ni ya mende na kichwa kinasoma kutoka ndani mwa choo cha stand
 

Zitto akihania cuf itakuwa poa sana lkn ajikague asije akaleta mgogoro; si unaona toka zitto aondoke chadema akuna migogoro?
 
Kwa nini ukasirike mke uliyemtaliki akichukuliwa na mwanamme mwingine?
 

Gazethi lenyewe
View attachment 216668
 
Kumbe habari yenyewe imetoka kwenye gazeti la kufungia vitumbua!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…