pasi padinde
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 281
- 299
Pole yao wajipange wakati mwingine
soma bandiko BashitePole yao wajipange wakati mwingine
Mgombea wenu keshaanza mazoezi?
KONYAGI-FAHARI YA WATANZANIA
Title yako haiko vizuri, jaribu kuiweka vizuri iendane na maudhui yaliyomo.
Umeelezea vizuri lakini title inakinzana.
Hoja nyepesi sana hizi,hazimgusi kabisa mwananchi wa muhambwe au nyakwaleMfano
Bomoabomoa
Tetemeko
Utekaji uuwaji
Vijana kufukuzwa udom na wengine watoto wa wakubwa kuendelea kusoma
Freedom of speach
Fungafunga kwa wapinzani
Kuzimwa kwa Bunge
Matumizi ya kubambikia kesi
Hoja nyepesi sana hizi,hazimgusi kabisa mwananchi wa muhambwe au nyakwale
soma bandiko Bashite
Labda kama watatumia uongo wa msigwaInategemea zitaelezwaje. Wepesi wa kusoma sio wepesi wa kuwasilisha kwa wananchi.
Labda hujawahi kutana na mafundi wa majukwaa ikichanganya na emotional behavior
sawa Bashite (first lady 2).Wewe mlevi wa konyagi kaa kimya
Naskia fomu mmechapisha moja tu ya meko,toka lini ccm mkawa na akili mmebaki kumsifia na kumuabudu yesu wenu.
Naskia wagombea wote wameogopa kuchukua fomu
Pole yao wajipange wakati mwingine
CDM inawatisha sana ccm nafurahi mno ninapoona ccm wakihangaika huku na huko wakati hata mgombea urais hajafika nchini inafurahisha.Mgombea wenu keshaanza mazoezi?
KONYAGI-FAHARI YA WATANZANIA
Naskia fomu imetoka moja tu,mmeogopa kutolewa bandamaHuku mnasema mnajiamini, huku mnaweweseka CHAGGA DEVELOPMENT MANIFESTO (chadema)
Mmekuwaje mbona mmekata tamaa dakika za mwanzo.
Hayo yote uliyotaja kwa ujumla ndio yalikuwa matatizo ya nchi yetu, ukiongeza na hili la wimbi la wanasiasa wapiga deal!
Mnajaribu kuichonganisha serikali ya awamu ya tano, kuanzia watumishi,walimu,mafao nk.
Lakini mmegonga mwamba.
Jiandaeni kisaikolojia kazi kwenu.
VIVA JPM 2020 - 2025[emoji1241]
Tatizo swahiba wangu huyo hasomagi uzi ukiletwaUmeuelea ujumbe?
Inashangaza kumwona kijana mwenye akili timamu akishabikia ccm.Huku mnasema mnajiamini, huku mnaweweseka CHAGGA DEVELOPMENT MANIFESTO (chadema)
Mmekuwaje mbona mmekata tamaa dakika za mwanzo.
Hayo yote uliyotaja kwa ujumla ndio yalikuwa matatizo ya nchi yetu, ukiongeza na hili la wimbi la wanasiasa wapiga deal!
Mnajaribu kuichonganisha serikali ya awamu ya tano, kuanzia watumishi,walimu,mafao nk.
Lakini mmegonga mwamba.
Jiandaeni kisaikolojia kazi kwenu.
VIVA JPM 2020 - 2025[emoji1241]