Kama hakuna checks and balances tungeshuhudia askari wakipiga bakora raia mitaani. Tungeshuhudia wananchi wanapigana mapanga uraiani.Kwani hulijui hilo kwa Tanzania hakuna "checks and balances"?
Unahitaji mifano ipi ujue kuwa Executive kwa Tanzania imetia Legialature na Judiciary kwapani?
Hujui kuna watu walitimuliwa uanachama ila wakarudishwa bungeni na kuendelea kuwa wabunge?
Was it right kwa wakurugenzi kujihusisha kwenye "uchafuzi" wa serikali za mitaa 2019 kwa kiasi kikubwa hadi kusema CCM imeshinda kwa 99%?? Achilia mbali "uchafuzi" mkuu 2020 na kusema Jiwe alishinda kwa 84% je hizo kura ameenda nazo huko aliko?
Why tume iteuliwe na mmoja wa washindani wanaoenda kupigiwa kura ! Inahitaji hata elimu ya upili kujua hapo hakuna uchaguzi??
Huoni askari wakitumia live bullets mahali pasipotakiwa kutumika wakamuondoa uhai Akwilina?Kama hakuna checks and balances tungeshuhudia askari wakipiga bakora raia mitaani. Tungeshuhudia wananchi wanapigana mapanga uraiani.
Tume ya uchaguzi ni independent body, mengine tulishazoea kuyasikia.
Unahitaji uhakika upi?Acha kuongea masuala usiokuwa na hakika nayo.
Kama ushahidi haujakamilika mbona atasomewa commital? Kama hana kosa mbona amepelekwa mahakamani?Unahitaji uhakika upi?
Au why Mbowe akamatwe bila kosa kwa kuplan eti 'kuua ' viongozi huku tunaambiwa ushahidi upo mara haujakamilika?
Huku watu walijaribu kumuua Lissu kwenye makazi ya viongozi yenye ulinzi na hadi leo hawajajulikana
Hivi CCM mnadhani wananchi ni wale wale wa 1970 zidumu fikra za mwenyekiti?
CCM lini mtasimama kwa miguu yenu bila polisi! ?
Hiyo siku yaja!
Kama ushahidi haujakamilika mbona atasomewa commital? Kama hana kosa mbona amepelekwa mahakamani?
Ushahidi upi?Kama ushahidi haujakamilika mbona atasomewa commital? Kama hana kosa mbona amepelekwa mahakamani?
Moja ya kesi ambazo Jamhuri imetenda haki kuziwahisha ni hii. Habari kuwa alijificha au la wewe huna uhakika. Subiri ikianza kurindima upate ukweli.Ushahidi upi?
Wa kuambiwa kuwa Mbowe alienda kujificha Kenya ila amerudi ndio wakaona wamkamate? Insane
Sina uhakika wakati mkuu wenu amesema hivyo?Moja ya kesi ambazo Jamhuri imetenda haki kuziwahisha ni hii. Habari kuwa alijificha au la wewe huna uhakika. Subiri ikianza kurindima upate ukweli.