PreGE2025 CHADEMA wanapanga kushiriki Uchaguzi 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Gilbert A Massawe

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2015
Posts
5,922
Reaction score
4,715
Taarifa za ndani Viongozi wa Chadema wameeendelea Kumshauri Mwenyekiti wa Chama Chao Tundu Lissu kuhusu kushiriki Uchaguzi kwa njia yeyote kwa maana ni vigumu kuzuia Uchaguzi na watanzania wanaendelea na Shughuli zao kama kawaida.

Taarifa za zaidi zinasema Viongozi wa Dini wamekua wakishawishi kuingia kwenye uchaguzi huu ili hatma ya Chama hicho kisifikie Ukomo.

Baada ya mivutano ya Kuibuka kwa Kikundi cha G55 na kutimukia Chauma viongozi hao wa zamani wamefungua milango kwa wanachadema waliopo tayari kujiunga na Chauma na kuwapa uhakika nafasi za kugombea za Udiwani na Ubunge huku waliokua Team Mbowe wakioneakana kukosa sauti ndani ya Chadema na kuitwa wasaliti .

Mwezi wa 6,7,8 siasa ya Tanzania itashudia mambo makuu mawili.

GM
 
No reform No Election imewavuruga sana masisiemu na washirika wake nchi hii ukifanya uchaguzi bila kuwepo CDM nikipengele tayari fanyeni reforms hata kesho muweke mchapike
 
Taarifa za ndani Viongozi wa Chadema wameeendelea Kumshauri Mwenyekiti wa Chama Chao Tundu Lissu kuhusu kushiriki Uchaguzi kwa njia yeyote kwa maana ni vigumu kuzuia Uchaguzi na watanzania wanaendelea na Shughuli zao kama kawaida.

Taarifa za zaidi zinasema Viongozi wa Dini wamekua wakishawishi kuingia kwenye uchaguzi huu ili hatma ya Chama hicho kisifikie Ukomo.

Baada ya mivutano ya Kuibuka kwa Kikundi cha G55 na kutimukia Chauma viongozi hao wa zamani wamefungua milango kwa wanachadema waliopo tayari kujiunga na Chauma na kuwapa uhakika nafasi za kugombea za Udiwani na Ubunge huku waliokua Team Mbowe wakioneakana kukosa sauti ndani ya Chadema na kuitwa wasaliti .

Mwezi wa 6,7,8 siasa ya Tanzania itashudia mambo makuu mawili.

GM
Kifo cha hicho chama kilitabiriwa miaka mingi lkn mpaka baadhi ya waliokuwa wakikitabiria kifo hicho walishafariki halafu hicho chama kipo tu sijui ni kwa nini?
 
Sasa watashirikije na hawakusain ile takataka ya inec?
Maridhiano

Wapo tayari kutumia Viongozi wa Dini kuyajenga upya

MPaka Sasa Mazungumzo yanaendelea

Dkt Slaaa aliwashauri chadema wasiache kusaini zile fomu ila haraka Heche alisema hakuna kisaini na Katibu Mkuu alitii magizo yale.

Chadema mpaka sasa wanaendelea kushutumiana huku baadhi ya mawakili wameanza kutafuta majukwaa mengine kufanya siasa zao
 
Wakishiriki nitawapigia kura. Wasiposhiriki nitawapigia CHAUMMA. Siwezi kuacha kupiga kura
 
Maridhiano

Wapo tayari kutumia Viongozi wa Dini kuyajenga upya

MPaka Sasa Mazungumzo yanaendelea

Dkt Slaaa aliwashauri chadema wasiache kusaini zile fomu ila haraka Heche alisema hakuna kisaini na Katibu Mkuu alitii magizo yale.

Chadema mpaka sasa wanaendelea kushutumiana huku baadhi ya mawakili wameanza kutafuta majukwaa mengine kufanya siasa zao
kumbe!!!
 
Taarifa za ndani Viongozi wa Chadema wameeendelea Kumshauri Mwenyekiti wa Chama Chao Tundu Lissu kuhusu kushiriki Uchaguzi kwa njia yeyote kwa maana ni vigumu kuzuia Uchaguzi na watanzania wanaendelea na Shughuli zao kama kawaida.

Taarifa za zaidi zinasema Viongozi wa Dini wamekua wakishawishi kuingia kwenye uchaguzi huu ili hatma ya Chama hicho kisifikie Ukomo.

Baada ya mivutano ya Kuibuka kwa Kikundi cha G55 na kutimukia Chauma viongozi hao wa zamani wamefungua milango kwa wanachadema waliopo tayari kujiunga na Chauma na kuwapa uhakika nafasi za kugombea za Udiwani na Ubunge huku waliokua Team Mbowe wakioneakana kukosa sauti ndani ya Chadema na kuitwa wasaliti .

Mwezi wa 6,7,8 siasa ya Tanzania itashudia mambo makuu mawili.

GM
No Reforms No Election.
Vishiriki vyama vingine tu. Kwani hamuwezi kufanya uchaguzi bila Chadema?
 
Taarifa za ndani Viongozi wa Chadema wameeendelea Kumshauri Mwenyekiti wa Chama Chao Tundu Lissu kuhusu kushiriki Uchaguzi kwa njia yeyote kwa maana ni vigumu kuzuia Uchaguzi na watanzania wanaendelea na Shughuli zao kama kawaida.

Taarifa za zaidi zinasema Viongozi wa Dini wamekua wakishawishi kuingia kwenye uchaguzi huu ili hatma ya Chama hicho kisifikie Ukomo.

Baada ya mivutano ya Kuibuka kwa Kikundi cha G55 na kutimukia Chauma viongozi hao wa zamani wamefungua milango kwa wanachadema waliopo tayari kujiunga na Chauma na kuwapa uhakika nafasi za kugombea za Udiwani na Ubunge huku waliokua Team Mbowe wakioneakana kukosa sauti ndani ya Chadema na kuitwa wasaliti .

Mwezi wa 6,7,8 siasa ya Tanzania itashudia mambo makuu mawili.

GM
Unabet sio
 
breaking news ya CDM kutoka kwa mwanaCCM

anyways, inaonekana CCM hairidhiki bado ha CHAUMMA na hivyo vyama vingine kushiriki uchaguzi bila CDM

kwa kuwasaidia tu ili msiumie sana, fanyeni reforms kwa sababu muda upo ili tukapambane kwenye sanduku la kura
 
Back
Top Bottom