Naona kama mawakala wa upinzani watafanyiwa mambo haya matatu.
Moja: Wanaweza kuhongwa na CCM kuuangamiza upinzani, sioni wakala aliyeko kijijini kama ana uwezo wa kukataa laki tano apindishe matokeo.
Pili: Watazuiliwa kuingia vyumba vya kuhesabia kura kwa kisingizio kuwa hawana barua za uthibitisho wa vyama.
Tatu: Wapo watakaotekwa