Na we jiandae tena kwenda kuandamana we si ni kamanda acha wogaKafanye Homework kesho shule usije chapwa na mwalimu mtoto mzuri.
Kwani hao polisi sio people ama wale ni viumbe wa sayari nyingine?? CCM yenyewe ni "people" hao askari...Nec...hadi wafuasi wa CCM nao ni "people" so mjitafakariSisi tuna people's power na ninyi mnakaribishwa polisi power kasome historia utanielewa
Go and read Marxist revolution utapata majibu ya maswali yakoKwani hao polisi sio people ama wale ni viumbe wa sayari nyingine?? CCM yenyewe ni "people" hao askari...Nec...hadi wafuasi wa CCM nao ni "people" so mjitafakari
Nani kakwambia Kenya wana katiba bora...ingekua bora tusingeona mauzauza yao na wao kwenye huu uchaguzi wao uliopita ishu ni kwamba na wao watawala wao wanajua loopholes zote za hio katiba hawawezi kua wajinga kuruhusu katiba ya kuwakaanga wenyeweHahahahaaaaaa Tunahitaji kuwa na KATIBA BORA KAMA YA KENYA NA SOUTH AFRIKA LKN KWA KATIBA HII ya Sisi Wananchi kuwa Watu wa kuburuzwa na Kuwa Watu na Ndio Mzeeee ni tatizo Serikali ya Awamu ya Tano Inatumia Vizur kujihami kupitia UDHAIFU WA KATIBA YETU yaani Serikali ndo iwe na Amri kuliko MAHAKAMA,BUNGE NA WANANCHI MH! U ndo U TANZANIA NI KICHWA CHA MWENDA WAZIMU
Na we jiandae tena kwenda kuandamana we si ni kamanda acha woga
Wewe shimo limetanuka hawakutaki unawazia ChademaHatimae kipigo kimeendelezwa konondoni naamini kinafuatia kingine siha kuna haja CHADEMA mjitathimin aina ya siasa zenu yawezekana kuna kitu wapiga Kura hawa bado hawawaelewi au bado mna siasa za mwaka 47
CHADEMA ya SLAA sio ya sasa hii ya sasa nadhani NI mpya inayo elekea shimoni
CCM inapendwa kwa sera sio mtu
Ndo umemaliza?? Basi leta na mengine ambayo na ww umekalili kwenye hilo kasha lako la kufugia nywele ....nafsi zitawasuta nyie kwa kulazimisha mambo ambayo hamuyawezi mwisho wa siku mnawatia kwenye matatizo watu wasiohusikaAcha kukalili mdogo wangu sio kila mtu ni mfuasi wa chama cha siasa, tatizo lenu ccm mkiambiwa ukweli mnadhani anayewambiwa ni kada wa chama fulani sisi wengine ni raia tusio na vyama vya siasa tunaona uupuzi mnaofanya.
Hata nyinyi wenyewe nafsi zinawasuta kwa huu uupuzi mnaofanya mnaua ili muendelee kukaa madarakni AIBU ukweli.......Watanzania wanaona na Dunia inaona.
Kamaliziea homework unyooshae na sare za shule kesho ni shule.
Kinachofanyika ni kwamba CCM LAZIMA ISHINDE na hii haijalishi ni watu wangapi watauwawa, Ila CCM lazima ishinde,Hatimae kipigo kimeendelezwa konondoni naamini kinafuatia kingine siha kuna haja CHADEMA mjitathimin aina ya siasa zenu yawezekana kuna kitu wapiga Kura hawa bado hawawaelewi au bado mna siasa za mwaka 47
CHADEMA ya SLAA sio ya sasa hii ya sasa nadhani NI mpya inayo elekea shimoni
CCM inapendwa kwa sera sio mtu
Sawa mkuu umeongea vyemaHatimae kipigo kimeendelezwa konondoni naamini kinafuatia kingine siha kuna haja CHADEMA mjitathimin aina ya siasa zenu yawezekana kuna kitu wapiga Kura hawa bado hawawaelewi au bado mna siasa za mwaka 47
CHADEMA ya SLAA sio ya sasa hii ya sasa nadhani NI mpya inayo elekea shimoni
CCM inapendwa kwa sera sio mtu