CHADEMA, wananchi wamewachoka mtashindwa zaidi 2020. Hamna sera shawishi

Kkimondoa

JF-Expert Member
May 31, 2014
4,453
4,933
Hatimae kipigo kimeendelezwa konondoni naamini kinafuatia kingine siha kuna haja CHADEMA mjitathimin aina ya siasa zenu yawezekana kuna kitu wapiga Kura hawa bado hawawaelewi au bado mna siasa za mwaka 47

CHADEMA ya SLAA sio ya sasa hii ya sasa nadhani NI mpya inayo elekea shimoni

CCM inapendwa kwa sera sio mtu
 



Ulichoandika ni full comedy.
 
Afadhali wewe umesema.
 
Aliyekwambia ccm inapendwa ni nani?

Acheni kutumia nguvu muone shughuli yake.

 
Povu
 
Reactions: PNC
Kwani kura Ndo Zimeamua Au Risasi na Marungu kwa Wananchi na Kuiba Mpka Sanduku
 
Punguani kama wameeachoka si mngekaa mkaruhusu uchaguzi wa haki ili muone kweli mnapendwa au laa
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…