Kumekua na malalamiko ya makada ambao wametangulia hapa Igunga kwa maandalizi ya Kampeni kwa kulipwa posho ya Tsh 30,000 kwa siku! Hapa Igunga lodge ya bei ya Chini ni 15,000! Kumekua na majibu ya hovyo kutoka kwa Ndugu Komu wa CDM hq kuwa kwa sasa kama mtu hana wito na CDM basi asishiriki kampeni hizo!
My take: Posho ya Tsh 30,000 haitoshi na inawapa wakati mgumu maafisa hawa ambao wana umhimu wa kuratibu kampeni! Kuna umhimu wa Katibu mkuu wa CDM kuingilia kati suala hili na kuipandisha posho hata kufikia 50,000 kwa kuzingatia kupanda kwa gharama za maisha!
Chadema inatakiwa kuwa na maofisa wachache sana wa full time walipwe lakini wengine kama mimi na wewe tuijenge Chadema kwa kila aina ya uwezo wetu tulio nao .Kama mtu hana kipato anategemea Chadema this will be hard maana hakuna pesa hizo .Aende CCM wanazo sisi Chadema hakuna na tunataka watu wajue kwamba Chadema si kijiwe cha kuganga njaa ni kazi pekee pale .Posho ya 30,000 kijini ni kubwa sana sana siamini kama Igunga iko kama Nyamagana kwa mfano.Jamani isaidieni Chadema .
Hapa tumeweka itikadi za vyama vyetu pembeni!John Marwa, Rejao, na yule dada lao moja. nanihhiiii wa MAGAMBA
Kama mshahara upo.. basi posho inatosha sana. tatizo tusilinganishe na mfumo uliopo ambao ni mbovu.30,000 kwa siku ngapi? na kwa watu wangapi? Na hawa makada wanalipwa mishahara vile vile au ni hizi posho tu?
30,000 kwa siku ngapi? na kwa watu wangapi? Na hawa makada wanalipwa mishahara vile vile au ni hizi posho tu?
Hivi hao maofisa ni wanafunzi au watu wazima? Mtu mzima unampaje 30,000 kwa siku? Hiyo familia yake anaiachaje? Moyo wa kujitolea ni mhimu lakini hapahapa JF tuliambiwa Katibu Mkuu wa Chademu Dr Slaa anapewa Posho ya 7milioni kwa mwezi na ndio ukawa utetezi hata hapa JF kuwa asilipe kodi kwakuwa ni posho tu! Kujitolea kwa ajiri ya Chama kusiwe na madaraja kwa wanaoneemeka na wanaopewa sound ya kujitolea kujenga Chama!
Leo mbwa atapiga mswaki ni ajabu John Marwa, Rejao, Mlengo wa kati, Ritz na mama lao kuwa watetezi wa Chadema, siku hizi mmeshindwa kabisa kuja kwa hoja imebaki ni hizi zisizo na mashiko.Hapa tumeweka itikadi za vyama vyetu pembeni!
Unawezaje kuishi nje ya kituo chako cha kazi kwa posho ya 30,000?
Hata mtumishi wa kawaida serikalini halipwi posho ndogo hivyo!
Huu ni unyanyasaji mkubwa!
<br />John Marwa, Rejao, na yule dada lao moja. nanihhiiii wa MAGAMBA
Feedback,Leo mbwa atapiga mswaki ni ajabu John Marwa, Rejao, Mlengo wa kati, Ritz na mama lao kuwa watetezi wa Chadema, siku hizi mmeshindwa kabisa kuja kwa hoja imebaki ni hizi zisizo na mashiko.
Hivi hao maofisa ni wanafunzi au watu wazima? Mtu mzima unampaje 30,000 kwa siku? Hiyo familia yake anaiachaje? Moyo wa kujitolea ni mhimu lakini hapahapa JF tuliambiwa Katibu Mkuu wa Chademu Dr Slaa anapewa Posho ya 7milioni kwa mwezi na ndio ukawa utetezi hata hapa JF kuwa asilipe kodi kwakuwa ni posho tu! Kujitolea kwa ajiri ya Chama kusiwe na madaraja kwa wanaoneemeka na wanaopewa sound ya kujitolea kujenga Chama!
<br />30,000 kwa siku ngapi? na kwa watu wangapi? Na hawa makada wanalipwa mishahara vile vile au ni hizi posho tu?
Hawa ndio viongozi wa BAVICHA angalia mawazo yake anawaza pombe tu! Mtu katoka Moshi kaicha familia yake kaenda Igunga kukitetea Chama chenu mnapa 30,000 huko nyumbani Moshi atatuma kiasi gani na yeye atumie kiasi gani!Elfu 30,000 kwa siku mkuu mtoa maada nae ni mzushi igunga gesti ya elfu 10,000 ni nzuri mno,unapata self safi inabaki 20,000 unakula chakula safi na bia juu na chenji inabaki kabisa hapo.