huyu Mzee Balozi Mstaafu ni mtu muhimu sana ndani ya ccm ni trustee wa chama, ni mtu mwenye sauti. Lusinde huyu hana undugu na Lusinde wa matusi aka Kibajaji cha mchina. Lusinde alioona nimehama ccm kwenda CDM aliduwaa sana nadhani sasa ameanzxa kuona kwamba uamuzi wangu ulikuwa sahihi kuja CDM.
Mnaosema chadema ina udini na ukasikazini mna udhaifu mkubwa sana mimi ni wa Dodoma ni CHADEMA, wapo waislam kibao ni CDM wapo wapagani CDM unataka udini na ukabila ili iweje? DHAIFU SIKU ZOTE NI DHAIFU
Kudadadaadaadadeki ni mtoto wa house boy wa Mzee lusinde,Huyu ana uhusiano gani na huyu jamaa (Kilaza)?
CCM wapingacho ndicho wafanyacho
1. Mawaziri wakuu wa CCM (Mara) - J.k. Nyerere - Kaskazini;
2. Joseph Sinde Warioba (Mara) - Kaskazini;
3. Cleopa Msuya - Kaskazini;
4. Edward Moringe Sokoine (Arusha) - Kaskazini;
5. Fredrick Sumaye (Arusha) - Kaskazini;
6. Edward Lowasa (Arusha) - Kaskazini.
CCM wapingacho ndicho wafanyacho
1. Mawaziri wakuu wa CCM (Mara) - J.k. Nyerere - Kaskazini;
2. Joseph Sinde Warioba (Mara) - Kaskazini;
3. Cleopa Msuya - Kaskazini;
4. Edward Moringe Sokoine (Arusha) - Kaskazini;
5. Fredrick Sumaye (Arusha) - Kaskazini;
6. Edward Lowasa (Arusha) - Kaskazini.
Cdm muache udini na ukaskazini
POMPO kwa nini hujatueleza haya siku zote mkuu? Kwa taarifa hii tungekuwa tuna majibu mengi kuliko maswali.Kudadadaadaadadeki ni mtoto wa house boy wa Mzee lusinde,
so amekuwa kwenye familia hiyo baada ya "house boy" huyo kufariki ikabidi Mzee Lusinde amtunze,
jamaa shule ikamshinda darasa la saba tu!
Nguli wa siasa nchini na kada mashuhuri wa CCM Balozi Job Lusinde amevunja ukimya na kusema kuna kila dalili kwamba CDM inakaribia kuchaguliwa na wananchi kuongoza dola ya Tanzania.
Mkongwe huyo wa siasa amesema CDM imejipanga vyema na ina uongozi madhubuti unaopanga vyema harakati zake za kisiasa nchini.Balozi Lusinde amesema amekuwa akifurahishwa jinsi CDM inavyotangaza sera zake kwa wananchi kwa kutumia maandamano na mikutano ya hadhara.Amesema CCM inapaswa kukubali kwamba lolote linaweza kutokea katika uchaguzi mkuu wa 2015.
Kuhusu chama chake cha CCM Balozi huyo ameeleza kusikitishwa na hali ya uhasama ilivyofikia ndani ya chama hicho kufikia wanachama kutaka kuuana kwa bastola kwa uroho wa madaraka akirejea tukio lililotokea hivi karibuni huko Nzega kati ya Hamis Kigwangala na Hussein Bashe.Amesema kiuhalisia sasa CCM imekosa mwelekeo.
Source:Tanzania Daima Uk 6
Huyu mzee kashachoka hana analolijua hata alichosema haelewi na hili gazeti la tanzania daima litafungiwa soon kwa uchochezi wa kijingajinga kuwatetea mmiliki wake Dj na wajinga wenzie
CCM wapingacho ndicho wafanyacho
1. Mawaziri wakuu wa CCM (Mara) - J.k. Nyerere - Kaskazini;
2. Joseph Sinde Warioba (Mara) - Kaskazini;
3. Cleopa Msuya - Kaskazini;
4. Edward Moringe Sokoine (Arusha) - Kaskazini;
5. Fredrick Sumaye (Arusha) - Kaskazini;
6. Edward Lowasa (Arusha) - Kaskazini.
ccm wapingacho ndicho wafanyacho
1. Mawaziri wakuu wa ccm (mara) - j.k. Nyerere - kaskazini;
2. Joseph sinde warioba (mara) - kaskazini;
3. Cleopa msuya - kaskazini;
4. Edward moringe sokoine (arusha) - kaskazini;
5. Fredrick sumaye (arusha) - kaskazini;
6. Edward lowasa (arusha) - kaskazini.
Hata Baloteli ni Mtaliano.Mnaosema chadema ina udini na ukasikazini mna udhaifu mkubwa sana mimi ni wa Dodoma ni CHADEMA