CHADEMA wanajidanganya tena sana

Ni lini wapinzani hawajahamasisha maendeleo hivi kukataa miswada ya kifisadi bungeni Kma ule wa gesi na ule wa usimamizi wa fedha je sio kuhamasisha maendeleo au maendeleo yanaweza kuja bila mazingira rafiki kuwekwa?

Ni lini wapinzani wamekataa maendeleo wakati juzi tu tumeona meya jacob akitoa mikopo kwa vikundi vya akina mama hapa Dar au hayo sio maendeleo??? Au kisa magufuli anasema majukwaani watu wachape kazi ndio unaona anahamasisha maendeleo kwa maneno ya jukwaani wakati kiuhalisia zaidi ya vijana laki 6 wanaingia katika soko la ajira kila mwaka na 80% hawana pa kuanzia sio mitaji sio ajira hyo kazi watachapia wapi???

Mshaurini awe na vipaumbele vya kueleweka aache siasa kila muda na kuongea visivyotekelezeka eti viwanda wakati hta kilimo kimetushinda!
 
Wengi mliongea mnatoa tu hot air wala hamjui uhalisia wa mambo. Wait and see.
 
Sister usijisumbue kumuelimisha huyu mchaga wa Rombo, hawa wana hasira baada ya madili yao mengi kuguswa awamu hii na wamejaa ukabila, ukanda na ubinafsi. Mabadiliko yaliyopo kwenye system makubwa zamu hii hawezi kuyaona sababu yupo nje, yeye anaijua Tanzania kupitia Jamii Forums na mitandaoni tu. Ila muda wa kupiga kura ukifika ndo utajua kuwa JPM kafanya mangapi, nakuhakikishia 2020 upinzania hawapati hata 20% kura za uraisi, na wabunge kibao hawarudi. Ndo maana wabunge wajanja wa upinzani wapo kimya, ni bora kukaa kimya kuliko kupinga maendeleo anayoyaleta JPM.Unaonekana mchawi kwenye jamii.
 

Naona hatuelewani hapa! Hayo yote Uliyosema ni Kweli, Na inawezekana Kabisa Mgombea wa Ukawa 2020 akapata 90% ya kura zote na Magufuli 7% Swali langu ni Je wakiweka Alogarithm zikaonyesha Yeye Magu kapata 86% na Ukawa 14% Mtamfanyaje? Mlishafanya nini kuonyesha Mkiibiwa Mtafanya lolote. Kama Mtu anawatwanga Risasi mnaishia Maneno na Kulia lia akiwaibia Kura mtafanyaje! Huoni kwa Kutoreact kwa Upuuzi wake Mtu ataona his Magic is working na Atazidisha uhuni? Am not convinced kuwa Chadema Wakiibiwa Watafanya Lolote! Tundu Lissu alipopigwa Risasi hata Wangetia "Dodoma yote kiberiti" Au angalau Jengo lote la Bunge in Minimum" Yes the Hell I said it! Ni kama mfano tu! Sijamwambia mtu achome anything! Wangewaelewa na Dunia ingewaelewa, the lost the opportunity kutoa onyo!
 

Mabadiliko ya Kununua Madiwani?
Kununua Ndege bila Budget na ikizuiwa unamsingizia mtu na kumpiga risasi?
Mabadiliko ya Kupora pesa za wahanga wa Matetemeko na kuzitumia katika budget ya serikali kisha unawapa wahanga majani ya chai na biscuit moja?

Somebody give me a bucket!

Mabadiliko ya kuvunjia Wananchi hawa nyumba zao na hawa unawaacha?
Mabadiliko ya Kumtukuza Waziri mwadilifu na Kumkingia Kifua Jambazi?
Mabadiliko ya kuiba 2.7 Billion hazina kuhonga wabunge wa CCM milioni 10@
Mabadiliko ya kuiba Pesa na kumpa mpuuzi Lipumba Kuvuruga CUF na Ukawa?

Somebody give me a bucket!

Mabadiliko ya Kufukuza kazi hawa kwa Vyeti Bandia na Kumbeba mbeleko bashite?
Mabadiliko ya Kusingizia Vita vya Madawa kuumiza Supporters wa Lowassa?
Mabadiliko ya Kudanganya Kiasi cha Makusanyo ya Kodi TRA
Mabadiliko ya Kumpandisha Cheo Mtoa Rushwa na Mnunuzi wa Madiwani (Mnyeti)?
Mabadiliko ya Kukataza mikutano ya siasa huku akirandaranda na Polepole kufanya siasa za rushwa uchwara na Maji Taka?
Mabadiliko ya Kujengea Nzige airport Chato na Punda Trafic signal? (Magufuli Gbadolite au Nkandla)
Somebody give me a bucket! Nasikia kichefuchefu!


Wewe na Yeye ! Take those Changes to Hell where yall belong! The hell Ungekuwa Mzima Ungesikia harufu ha Hila na Unafiki wako na Wa Magufuli mungu wako! Unanuka kama Maiti iliyooza! Hizo hadaa za Kijinga wapelekee Washamba-Washamba wenzenu!
 
Sema No, Ila wewe Na huyo mungu mtu wako! No yenu iwe Kubadilika na Kuacha hila! He is not better than Qadaffi au Samwel Doe! Na alimtaja sana Qadaffi wakati wa kampeni zake nahisi alijitolea unabii mwenyewe! Mimi nimeshaota na kuona maono Mara Nyingi. Laana zinakuja Na consequences! Wamama na watoto waliovunjiwa nyumba Ubungo, Vitanda vyao, Vyungu, sufuria sahani, nguo za watoto za shule, mwana sesere zao! Zote akaziponda Kisa hawakumpa Kura! Mungu aliona!
 
Mkuu si wewe uje tujiunge kwenye harakati?? Mbona wewe uko Marekani unatanua tu halafu unataka wapigwe mabomu wakati wewe unaandika kwenye JF tu!! Njoo basi tunakusubiri mkuu!!
Do they have a choice?
 
Nakushukuru but No thanks! Observation yako Juu yangu ni sahihi, Ila umekosea kitu! Mimi niko very humble! Mpole! Nina huruma, niko Loyal to the end! Ila Sipendagi Ujinga hata Kidogo! The hell Unafiki na Ujinga kwenye Mambo muhimu sio strategy. Kingine nachochukia Kwa Roho yote ni UONEVU!
 
Hakuna mwenye mpango wowote wa maana ndani ya Chadema kuhusu 2020. Watu wamekaa wanasubiri "The Lowassa Magic". Wanasubiri Lowassa afanye mambo.
Ile damu ya kiuharakati na amsha amsha ilikufa yote baada ya kumkabidhi chama Lowassa.
Lakini usilalamike sana. Lowassa na Chadema walitangazia umma wote kuwa wasipoingia ikulu 2015 itawachukua miaka 50 kupata tena nafasi hiyo. Wote walimuamini na ndo ikawa mbiu yao. Kwa hiyo hakuna mwenye mpango na 2020, hiyo ni miaka 5. Wanasubiri ipite mingine 45 ndo walianzishe tena kama ilivyoamriwa na Lowassa.
 
Mkuu ya TZ waachie waTZ wewe si ulishaukana Utanzania wako?? Baki huko US tuachie nchi yetu na kama wewe ni mwanaume si uje TZ?? Mbona una bwabwaja tu kwenye mitandao!! Haisaidi sana kupiga kelele mitandaoni njoo ushiriki personally kama kweli ni kidume!!
 
Muda hauko mbali sana kuanza kumpelekea MUNGU wabakaji wa haki na democrasia.
Jukumu la kumpelekea Mungu sasa ni letu bila kusubiri awachukue yeye, Kazi ya Mungu sasa itakuwa ni KUHUKUMU tuu.Sisi tutampelekea watuhumiwa.
Muda hauko mbali, hatuwezi kuongozwa kizuzu namna hii.
 
mkuu hatuna viongozi aggressive ndio shida mbowe kawa mwamadiplomasia anasahau huyu sio kikwete au membe

Tulihitaji mtu Kma marehemu alphonce mawazo pale juu au mwikabe waitara na john heche...... BAVICHA atolewa patrobas alifaa mtu aggressive at least Kma upendo peneza hapo ndio tungeona ile nguvu ya umma ya 2010-15! Ssa hawa waliokuwepo hawakujiandaa na dikteta aliyeweza ni lissu tu ambaye na yye kaponea kifo

Mkuu mshauri uongozi ukae pembeni uletwe mpya wawekwe watu aggressive kina ben kigaila hapo ndio utaona kidogo unachokitaka ila hawa wa ssa sio watu wa mbwai mbwai which in turn resulted to unyonge wetu
 
Umejieleza sana but nilitaka kuona hitimisho lako ni la aina gani.
Udikiteta umetamalaki idara zote za nchi.
Waliopotezwa, waliouawa, waliopigwa risasi, waliofunguliwa kesi za uchochezi, waliojeruhiwa wakabaki vilema wote walikutwa na hayo wakiipigania haki yao na ya kwako pia wakipinga udikiteta ktk nchi yao na kutaka haki itendeke.
Ikiwa mtu kafikwa na hayo wewe ulitaka yamfike yapi ili ujidhihirishe kuwa ni mpambanaji.
On my side naipongeza upinzani kwa jitihada zao kwani yanayofanyika sasa hata Idd Amini Dada nahisi hajawahi yafanya.
Unyama wa serikali hii ni grade wanu duniani. Aliyofanyiwa Dr Shika na watesaji urusi wamefanyiwa wenzetu tayari ktk nchi hii.
Sina imani na ccm, sina imani na viongozi wake maana wanayoyafanya hata shetani anawashangaa.
Angalia kifo cha mawazo, mwangosi, maisha ya kibiti, aliko saanane, ya mbowe kuharibiwa bustani, kukomeshwa kwa fao la kujitoa, maslahi ya watumishi, maisha ya wakulima, gharama za elimu hakika napata kinchefuchefu kusikia neno ccm na kuona vazi la kijani(kumradhi watani zangu yanga).
 
Marandu if you believe kuna justification ya kufanya lolote, if you believe Lowassa kuingia kwenye gari ni woga, if heroes wako ni wahuni wa Mathare ndiyo wapinzani wazuri, wewe ni terrorist; don't do it. Dunia haina huruma na terrorists. Ukiwa ni mwanajukwaa hatutakutendea haki mwenzetu tusipokuonya huku tunaona unatia kichwa chako kinywani mwa simba.
 
Sasa Nafikiri kwenye uchaguzi wa madiwani Wataona nilichokuwa nawaambia!
 
Update za matokeo unazisikia lakini?
 
Hatuna upinzani nchi hii labda siku moja jeshi litakuwa wapinzani wa kweli wa ccm km Zimbambwe but not such bushit opposition parties...! I proud of CCM and fearful opposition parties worries!
Chadema ilipoangukia ni pale ilipo changanya maji na mafuta na zaidi kibaki kuwa chama cha ruzuku na ndugu zake mbowe hapo hakitanyanyuka tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…