TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,815
Wanakuona kama dk shika ,kwa faida yako madini uliotema hapa sioni uzi wako kupandishwa hapa!
Swala hapa sio nani ashide! Swala ni Demokrasia idumishwe na Anayeshinda iwe ameshida kihalali ! Ila wewe unaonekana unashabikia as if ni simba na Yanga! Ok Let say Kunabakia Wabunge 2 wa Upinzani 2020 Faida Utakayopata kama Mwananchi ni nini? Itakuwa ni Majanga zaidi hata kwa CCM kwenyewe! Kukiondolewa kushinda Uchaguzi kwa Hila! Anayeshinda atakaa akijua asipofanya aliyotumwa na Wananchi next election watamtosa! Na hii inampa mwananchi nguvu na Ni Faida kwa Taifa zima. Anayejua atashinda kwa wizi,Hata watembee uchi upinzani kipigo kinawahusu 2020 tena kipigo kibaya kabisa
Chadema ilitumia nguvu nyingi sana from 2005 to 2015 kujijenga kiasi kwamba hata top leadership ya chama imeexhaust kwa kazi kubwa waliyoifanya kujibrand na kupata wanachama na wafuasi.Kuna kitu kinanishangaza sana kuhusu CHADEMA, bado hawaamini kuwa uhuni wanaofanyiwa unatokea mbali zaidi ya polisi, zaidi ya wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa. Nilikuwa nikiwasikiliza Lema na Nassari walivyokuwa wakidai watampelekea mh. Rais ushahidi wa madiwani kuhongwa nikasikia kichefuchefu!
Nafikiri nilisema mahali ninyi toeni huo ushahidi, in public, sasa baada ya kubezwa na TAKUKURU na Mnyeti kupewa ukuu wa mkoa, kupandishwa, nadhani akili itawajia. Maana walichokuwa wakikifanya ni kumtumia mtu ujumbe kuwa, "The magic of fear is working"
Na kama hawatakuwa na mkakati wa pamoja wa kujua namna ya kupambana kisiasa very forcefully, 2020 wakibakizwa wabunge 5 wa CHADEMA niiteni mbwa!
Why I say so!
1) Kama mwenzenu anapigwa risasi mchana kweupe, reaction inakuwa ni unyonge, ukishinda ubunge wakamtangaza mwingine utafanyaje?
2) Kama Kigaila anakamatwa na polisi kwa kuhoji kwanini Makonda anazunguka na wenye bunduki reaction yenu inakuwa hii, mkinyang'anywa ubunge mtaweza kufanya nini?
3) Kama mtu bustani zako zinaharibuwa unalia lia unajibu uhuni kwa sheria ukinyang'anywa ubunge hata kama umeshinda kwa asilimia 90% utafanyaje!
4) Hivi neno, " Jecha apewe tuzo" linaashiria nini kwenu?
5) Hivi pamoja na kuonyesha wazi Mnyeti alihusika kuhonga madiwani na bado akapandishwa cheo inaashiria nini kwenu!
6) Kilichonichefua Kuliko vyote Ni pale Lipumba alipowafukuza Wabunge halali na Akawachagua Wabunge Ndondocha fake! Kwa msaada wa Ndugai na Magufuli, Reaction ya Ukawa Ikawa ya Kijinga Kijinga, ati wanakimbilia Mahakamani! 2020 Mmeshamthibitishia Magufuli Magic yake ya Uhuni, It actually works! Mtaona Undundu Mtakaofanyiwa!
Endeleeni kulia goodluck, pengine mtaonewa huruma! Guys mnachokifanya ni kutuma ujumbe kuwa hata mfanyiwe nini hamwezi fanya lolote, "And the envelopes will be pushed real far in 2020 by the look of things"
Magufuli hata Akipata asilimia 2% yaKura zote ataangiza itangazwe amepata kura 98%. Tathmini ya kufanya sasa miaka miwili kabla ni je akifanya hivyo Mtafanya nini? Ushahidi wa kufanya hilo Uko wapi? Kwenye siasa kuna Matukio yanatokea, yanakupa fursa ya Justification ya Kufanya Lolote na Wananchi wanawaelewa, na Dunia inaelewa, Mfano Mzuri ni Tundu Lissu, alipopigwa Risasi Mlikimbiza Nairobi, Nawapongeza sana hata Mimi ningefanya hivyo. Lakini Nisingeishia hapo, wakati Lissu akiwa out of the line of fire! Mlitakiwa Muwatafute Wauaji na hasa yule Co ordinator! Ili iwe Polisi wakiwakamata kuwe ni Kuwanusuru! Sasa mliishia Kupiga tu Kelele matokeo yake ndio Kuna ngedere bungeni anajaribu hata kulifanyia Dhihaka.
My Take! Namheshimu Lowassa ila anawapa Matumaini ya Uongo kwa Kuwashauri Muache siasa za harakati. Lowassa ni Mzee, sisemi ni Mwoga, Lakini ni Mwoga wa Kupoteza! Kuna siku polisi walimlazimisha kuingia kwenye gari aache kuwasalimia wananchi haraka haraka akaingia sasa sijui ni Familia yake ilimpa masharti asijiingize Kwenye shida! But Mheshimiwa Lowassa , "You cant have your cake and eat it" Hata kama Yeye hatakuwa Front line kuwazuia Vijana Kuwa Ngangari in Action kama Kenya! In the End hata yeye atapoteza.
I solute Wapinzani wa Kenya, Hawataki Upuuzi, N the mount War in all fronts, Mahakamani, In the Streets, In the Media na In the International platforms.
Halafu acheni madharau!
Tupe ABC tufanyaje?Kuna kitu kinanishangaza sana kuhusu CHADEMA, bado hawaamini kuwa uhuni wanaofanyiwa unatokea mbali zaidi ya polisi, zaidi ya wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa. Nilikuwa nikiwasikiliza Lema na Nassari walivyokuwa wakidai watampelekea mh. Rais ushahidi wa madiwani kuhongwa nikasikia kichefuchefu!
Nafikiri nilisema mahali ninyi toeni huo ushahidi, in public, sasa baada ya kubezwa na TAKUKURU na Mnyeti kupewa ukuu wa mkoa, kupandishwa, nadhani akili itawajia. Maana walichokuwa wakikifanya ni kumtumia mtu ujumbe kuwa, "The magic of fear is working"
Na kama hawatakuwa na mkakati wa pamoja wa kujua namna ya kupambana kisiasa very forcefully, 2020 wakibakizwa wabunge 5 wa CHADEMA niiteni mbwa!
Why I say so!
1) Kama mwenzenu anapigwa risasi mchana kweupe, reaction inakuwa ni unyonge, ukishinda ubunge wakamtangaza mwingine utafanyaje?
2) Kama Kigaila anakamatwa na polisi kwa kuhoji kwanini Makonda anazunguka na wenye bunduki reaction yenu inakuwa hii, mkinyang'anywa ubunge mtaweza kufanya nini?
3) Kama mtu bustani zako zinaharibuwa unalia lia unajibu uhuni kwa sheria ukinyang'anywa ubunge hata kama umeshinda kwa asilimia 90% utafanyaje!
4) Hivi neno, " Jecha apewe tuzo" linaashiria nini kwenu?
5) Hivi pamoja na kuonyesha wazi Mnyeti alihusika kuhonga madiwani na bado akapandishwa cheo inaashiria nini kwenu!
6) Kilichonichefua Kuliko vyote Ni pale Lipumba alipowafukuza Wabunge halali na Akawachagua Wabunge Ndondocha fake! Kwa msaada wa Ndugai na Magufuli, Reaction ya Ukawa Ikawa ya Kijinga Kijinga, ati wanakimbilia Mahakamani! 2020 Mmeshamthibitishia Magufuli Magic yake ya Uhuni, It actually works! Mtaona Undundu Mtakaofanyiwa!
Endeleeni kulia goodluck, pengine mtaonewa huruma! Guys mnachokifanya ni kutuma ujumbe kuwa hata mfanyiwe nini hamwezi fanya lolote, "And the envelopes will be pushed real far in 2020 by the look of things"
Magufuli hata Akipata asilimia 2% yaKura zote ataangiza itangazwe amepata kura 98%. Tathmini ya kufanya sasa miaka miwili kabla ni je akifanya hivyo Mtafanya nini? Ushahidi wa kufanya hilo Uko wapi? Kwenye siasa kuna Matukio yanatokea, yanakupa fursa ya Justification ya Kufanya Lolote na Wananchi wanawaelewa, na Dunia inaelewa, Mfano Mzuri ni Tundu Lissu, alipopigwa Risasi Mlikimbiza Nairobi, Nawapongeza sana hata Mimi ningefanya hivyo. Lakini Nisingeishia hapo, wakati Lissu akiwa out of the line of fire! Mlitakiwa Muwatafute Wauaji na hasa yule Co ordinator! Ili iwe Polisi wakiwakamata kuwe ni Kuwanusuru! Sasa mliishia Kupiga tu Kelele matokeo yake ndio Kuna ngedere bungeni anajaribu hata kulifanyia Dhihaka.
My Take! Namheshimu Lowassa ila anawapa Matumaini ya Uongo kwa Kuwashauri Muache siasa za harakati. Lowassa ni Mzee, sisemi ni Mwoga, Lakini ni Mwoga wa Kupoteza! Kuna siku polisi walimlazimisha kuingia kwenye gari aache kuwasalimia wananchi haraka haraka akaingia sasa sijui ni Familia yake ilimpa masharti asijiingize Kwenye shida! But Mheshimiwa Lowassa , "You cant have your cake and eat it" Hata kama Yeye hatakuwa Front line kuwazuia Vijana Kuwa Ngangari in Action kama Kenya! In the End hata yeye atapoteza.
I solute Wapinzani wa Kenya, Hawataki Upuuzi, N the mount War in all fronts, Mahakamani, In the Streets, In the Media na In the International platforms.
Halafu acheni madharau!
Wewe uko upande gani kwani!
Imeshakufa mkuu ndiyo maana serikali haijakataza mikutano ya kisiasa.Hivi CHADEMA bado ipo?
Thank you! But Kikwete amefanya mengi mara 1000 kuliko Magufuli! Lipi jipya alilofanya Magufuli mpaka sasa zaidi ya Usanii? Reli standard gage ni ya KikweteChadema ilitumia nguvu nyingi sana from 2005 to 2015 kujijenga kiasi kwamba hata top leadership ya chama imeexhaust kwa kazi kubwa waliyoifanya kujibrand na kupata wanachama na wafuasi.
Waliusoma vyema uongozi wa awamu ya nne wakatambua mapungufu yake mengi nakuyatumia kujijenga na CCM nao walishindwa kabisa kukabiliana na nguvu ya chadema.
Tatizo la chadema limekuja baada ya uchaguzi kujikuta wakipigwa mweleka tena licha ya nguvu kubwa waliyowekeza. Ikalazimika watafute kivuli cha kupumzika na kujihoji kulikoni tumeshindwa kufika kileleni.
Tathmini yao huenda iliwapa majibu mepesi au wameshindwa kupata nguvu wainukaje na kuanza safari badala yake kila mmoja anaishia kuinuka na kuchungulia mbele kisha anakaa.
Kibaya zaidi ni kwamba wameshindwa kupata njia mbadala ya kupambana na utawala wa sasa amabao una makosa mengi kuliko hata awamu ya nne kichama which the only it has is ubabe na vyombo vya dola.
Kosa jingine walilolifanya ni kutokufanya reshuffle ya top leadership walete nguvu mpya na ari mpya ikichagizwa na mikakati mipya ya kuhakikisha wanafika kileleni.
Na wakiendelea hivi 2020 watafanyia kampeni in police cells and there will be no body yo rescue them.
Hayo yote yako wazi lakini VDM wamechoka kimkakati zaidi sana wanaonewa na kukimbilia kwenye media kutafuta sympathy kwa wananchi ambao nao kwa sasa hawana channels za taarifa except watumiaji wa mitandao ya kijamii tuThank you! But Kikwete amefanya mengi mara 1000 kuliko Magufuli! Lipi jipya alilofanya Magufuli mpaka sasa zaidi ya Usanii? Reli standard gage ni ya Kikwete
Flyover ni za Kikwete
Daraja la Kigamboni ni Kikwete!
Aichofanikiwa kukifanya Magufuli ni kubomoa Uchumimalioujenga Kikwete! Demokrasia na uhusiano wa kimataifa.
Nini zaidi ya Kupeomote wahuni, watoaji rushwa, kuranda randa na Lipumba na Vile Vichwa vya Treni anavyo vikimbia?
Hata watembee uchi upinzani kipigo kinawahusu 2020 tena kipigo kibaya kabisa
I have a lot of respect for what you write most of the time.Acha Propaganda! Aliyemwaga Damu ya Lissu hasa aliyesimamia Zoezi, anajijua wanamjua! Wakimwacha hivi hivi wamesign ticket ya kujimaliza kisiasa! Kisiasa kuna Wakati wa Kuongea kwa Maneno na Kuna Wakati lazima Ujibu kwa Vitendo. Mfano Nchi ya Jirani ikirusha kombora nchini kwako na kuuwa hata kuku mmoja, kabla ya kungea Unatakiwa Urushe makombora kama mia uvunje Viwanda Madaraja na Viwanja vya ndege! Hiyo pekee ndio Lugha inayoweza kuwajulisha Waache! La itawagharimu sana na sio Kidogo!