Labda wanataka katiba mpya iwe va vipengele vya ukabia, kwa sababu mpaka sasa hivi ni hatari ndani ya CHADEMA. MTEI na MBOWE, SLAA na KAMILI, NDESAMBURO NA OWENYA, MABERE NA WENJE, LETICIA NYERERE NA MANYERERE, CHRISTINA LISSU na TINDU LISSU,
Kweli Nyani haoni-------,Hawa jamaa wana propaganda za urafiki kwenye uongozi wakati wao wanaongoza kwa undugunization. Je tunataka kuunda katiba itakayokataza uswahiba lakini inaruhusu undunization? Watanzania tuwe wachambuzi wa mambo na siyo kukimbia kuyabusu mabango yanayachochea vurugu nchini.
UKICHEZA NA KICHAA na wewe ni KICHAA.