wakuu na mimi nautaka huo wimbo. Unaupataje?
Ccm ndio hopeless kabisa, siku moja nilishangaa sana baada ya baamedi mmoja kunionesha opena ya ccm ambayo kila ukifungua chupa ya soda au bia inaimba nyimbo za ccm (zile za capt. Komba)
kweli miongoni mwa siku ambayo niliwadharau ccm ni that day, maana niliona ni upuuzi mtupu kwa kweli, si bora wangenunua madaftari wakayapiga lebo ya ccm then wakagawa bure, kuliko kutengeneza opena zinazoimba vyimbo zetu tena mpaka uweke sikioni ndio utasikia.