CHADEMA wamuombe radhi DC Igunga

Kwa akili yako cdm iombe msamaha kwa lipi??kwa mtu aliyekuwa anabaka demokrasia igunga halafu unasema wewe ni mpenda mabadiliko,mabadiliko gani hayo???wewe ni mnafiki tu kwanza ni magamba cdm iombe msamaha kwa chama cha magamba kama samaki puuuu!!!!
 
Polisi wawaombe radhi vibaka na majambazi kwa kuwadhalilisha kwanza.
Sasa hivi akikamatwa avuliwe chupi,nchemba alishaonyesha njia.
 
naona mtoa mada hana kumbukumbu kuwa cd alikamatwa kabla au wakati wa kampeni, au umechanganywa na magazeti
 

kuomba radhi kwa kosa ambalo hukulifanya ni unafiki! CDM haina hulka hiyo. Huyo CD ndiye aombe radì kwa kuìujumu CDM.
 
Hivi ninyi mliosema kuwa mada hii ni CRAP mnaweza kusema na kuainisha nini lilikuwa kosa la DC Kimario? Au mnaongelea ushabiki
 

Join Date : 4th October 2011, Posts : 4 Thanks 2, Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power : 0

Kama ni first assignment ki hivi, hata aliyekutuma ana matatizo makubwa. Wewe na DC wako mtaumbuka tu na kiherehere chenu. Alikuwa kwenye kazi ya udalali si ya serikali. Kama kadhililishwa aende mahakamani. Kura ilizopata CDM zinatosha, watu makini wameipigia kura CDM.
 
Hivi ninyi mliosema kuwa mada hii ni CRAP mnaweza kusema na kuainisha nini lilikuwa kosa la DC Kimario? Au mnaongelea ushabiki

Makosa ya Kimario ni kama yafuatavyo
1. Kutumia mali pamoja na muda wa serikali kufanya udalali kwa CCM
2. Kujaribu kuhujumu mikutano ya CCM kwa kuitisha kikao pembeni mwa mkutano
3. Kutokuwa kwenye sehemu ya kazi alikotakiwa awepo (Kwenye mkutano wa CDM)
4. Kutowaarifu polisi juu ya mkutano haramu aliokuwa akiufanya.
5. Kujaribu konganisha watu na udini
6. Kukaa kimyaa baada ya mtukio yote

Hata hivyo nakujibu tu hakuna unachokielewa. Ndiyo maana thread yako watu wanaiita CRAP
 

Hapo umeongea pumba hakuna chochote cha ukweli,mimi nawashangaa sana,DC alikuwa katika majukumu yake,huwezi mzuia DC asikutane na watendaji wa vijiji au kata..NI vizuri kuwa waungwana kuomba radhi.
 

Hapo umeongea pumba hakuna chochote cha ukweli,mimi nawashangaa sana,DC alikuwa katika majukumu yake,huwezi mzuia DC asikutane na watendaji wa vijiji au kata..NI vizuri kuwa waungwana kuomba radhi.
 
Hapo umeongea pumba hakuna chochote cha ukweli,mimi nawashangaa sana,DC alikuwa katika majukumu yake,huwezi mzuia DC asikutane na watendaji wa vijiji au kata..NI vizuri kuwa waungwana kuomba radhi.

Organizer,

JF hapa ukiikosoa Chadema, basi utaonekana wewe mbaya na mtu huna akili wakati unachokizungumza kinaweza kuwa na mantiki na ukweli ndani yake. Hivyo tegemea pumba nyingi kuna wanazi wengi wa chadema hapa na waumunini wa udini na ubaguzi ijapokuwa chadema ni chama kina sera nzuri ila zinaharibiwa na wanazi hawa.

Cha kujiuliza wanazi wa chadema ni:-
a. Je huyu DC kimario alikuwa muislamu au la - Jibu DC Kimario ni muislamu.
b. Je Uislamu utupu wa mwanamke ni upi?- Jibu Utupu wa mwanamke ni mwili mzima except mikono, uso, na viganja vya mguu.
c. Je mwanamke wa kiislamu akivuliwa hijabu sio kosa au kosa? Jibu- ndio ni kosa kwa mujibu wa sheria za dini ya kiislamu.

Sasa mna kitu gani cha kushindwa kuomba radhi kiungwana kwa huyu mama yakaisha mnabakia kuleta hoja za kijinga na kidhaifu but unajua ukipenda kitu hata chongo mtaita kengeza.
 
Sina la ziada, nadhani organiser ameelewa sasa!, aje aombe radhi kwa kukurupuka!
 
Yatawakuta yaliyomkuta Mrema ..just wait and see..
 
chadema chama cha wahuni..

ahsante sana! Kwa hiyo Tanzania ina wahuni zaidi ya 2mil waliochagua CDM mwaka jana. Mwanza, Arusha, Mbeya, Dar. Majiji yetu yalichagua CDM ni wahuni?
 

hacha mapenzi na CCM ambayo hata shetani anayaogopa
a.DC kimaro si mwislamu.hata kama ni mwislamu hawezi kuomba radhi kwa kua ni mwislamu labda kwa kua ni DC uchwara
b.so what kama utupu ni mwili mzima .hacha kutuletea udini amekamatwa kama muarifu mwingine na sio kwasababu ni muislamu what if angekua mkristu,wale ni raia waliokua wanatimiza majukumu yao sio cdm coz polisi hawawezi kazi yao na kama raia wasingeweza kumwacha mwalifu asepe
c.hakuvuliwa hijabu alivuliwa mtandio hata kama ni kosa kwa dini ya kiislamu nendeni mahakama ya kadhi huko zanzibar msituletee zengwe,na ndo maan mlitaka kuanziha mahakama ya kadhi kwa utumbo kama huu,
 
Sisi si wanafiki kama wewe kama unamhurumi kampe pole wewe na wanafiki wezako ,kwa mimi hata wangempa mkong'oto tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…