WISDOM SEEDS
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 841
- 283
Hawa watu Nape anawatoa wapi ?? milembe au??
Yaaan watu hajui hata taratibu za kutunga sheria! hata elimu ya urai ya dalasa la tano hawajapata?
Ulishaona wapi mada ikapelekwa bungeni kujadiliwa imsha sihinwa na Rais, hiyo inakuwa sio mada/rasimu tena inakuwa ni sheria.
Kiutaratibu inatakiwa ijadiriwe bungeni, ikishapitishwa na bunge ndio inahisiniwa na rais kuwa sheria/kanuni.
Lkn...Rais na wasaidiz wake ...mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmh!
Tutafika kweli..? kwa mwendo huu wa kuvunja vunja kanuni na taratibu??
Mlitaka alete bungeni bila kusaini hoja yake? Mnanshangaza!
Unashangaa nini hapa ndugu Mtanzania mwenzangu, hivi kweli kwa uelewa wako Rais azindue mpango kukiwa na timu yake ya wataalamu waliobobea halafu mpango huo ndiyo utolewe maoni?Mlitaka alete bungeni bila kusaini hoja yake? Mnanshangaza!
Mlitaka alete bungeni bila kusaini hoja yake? Mnanshangaza!
Bora aliisha saini kwani alijua CDM hawana jipya na ni wachache bungeni hawana lakufanya. Andaeni basi maandamano juu ya hilo
Welevu si kusikika au kuonekana unafanya juhudi bali ni kufanikisha na kuepuka kufanya mambo ambayo mchango wako unakutenga na uelevu. Mpango huu bungeni umewasilishwa ili ukafanyiwe nini?
Tunajua anayewasilisha ni serikali ambaye mkuu wake ni Rais. Lakini inapotokea ameshukuru wadau mbalimbali ikiwa ni pamoja na Bunge kwa mchango wake nini kusudio lake? Kuwaziba midomo ili wapitishe bila kujadili, na kama anawashukuru kwa mchango wao anawapelekea wakafanye kitu gani. Na ikitokea wakarudisha serikalini kwa marekebisho. Mapenzi ya kisiasa yanakuziba jicho moja na uelevu.
Tunakupenda na tunapenda kuendelea kuwa na wewe jamii forums lakini tunakuomba uitendee haki jamii forum.
Hivi ni mahakama ipi tukianzisha ndo tutakua na huu mtindo? Nimesahau ...
Watu kama hawa wa CCM wakiongozwa na Nape wananipa burudani sana kwani kwa mtindo waliouanzisha wanarahisisha sana kazi ya nguvu ya uma kuwang'oa mapema sana.Mlitaka alete bungeni bila kusaini hoja yake? Mnanshangaza!
Kumbe Kweeli Bunge ni rubber stamp tu???!!!Mlitaka alete bungeni bila kusaini hoja yake? Mnanshangaza!