Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,505
Napenda sana haya mambo kwasababu yanafanya maisha yawe mapya kila siku. Kwenye nchi yenye matatizo kama hii, ni sinema za namna hii tu zinazoweza angalau kupunguza machungu ya maisha.
Kwahiyo unataka kutuambia kuna Nchi inakiboost CDM financialy?
Ni wakati wa Chadema kuumbuka. Nape atakuja na ushahidi wa kutosha.
Kweli mahakama ni yao ila watuthibitishie sababu hata benki kuu pia ipo chini yao, sasa rahisi kwao kusema hayo mabilioni yako akaunti ipi? kesi imefunguliwa na baraza la wadhamini ambao wanajua kiingiacho na kitokachoMahakama ni yao, na hivi tena majaji wapya walioteuliwa na mwenyekiti wa ccm taifa na alishawapa maelekezo mpya ya maslahi ya ccm mbele! Uh!
Hii kesi inaweza kuwa ngumu sana kwa upande wa Nape kwa sababu kwenye madai yake (yeye Nape) ni kwamba kuna nchi za nje zinazotoa fedha kwa CHADEMA kwa makuliano ya kuuziwa/kupewa rasilimali za Tanzania. Hapa issue sio kupekea pesa, ila atatakiwa athibitishe beyond reasonable doubt kuwa kuna nchi zimetoa fedha kwa masharti wa kupewa rasilimali za Tanzania. Sasa itakuwaje kama hizo nchi zitakataa?

ukisha ona unashindwa lazima utafute maneno mengi, CCM Hata siku moja haikurupuki, unawaona walioko CCM Lakini? CDM kuna nani? labda ZITTO TU ALIYEWAAMBIA CDM WENZAKE HAKUNA MSOMI KAMA YEYE, AND ITS TRUE, Ztto akitoka cdm kwisha,, Mwambie lema alienda UINGEREZA KUKAGUA MAHELKOPTA ALIKUWA ANAKUJUA, AU NDIO ANAJINADI AJIJENGE YEYE PAMOJA NA MBOWE NA FAMILIA ZAO? HUU NI MOTO WA KIFUU, WATANZANIA WANA AKILI SANA ,,,ENDELEENI KUANDAMANA WAKATI WENGINE WAKO KWENYE UTENDAJI!
Akome kazidi kuropoka bila utafiti.
Ni wakati wa Chadema kuumbuka. Nape atakuja na ushahidi wa kutosha.
Mimi nadhani nanza kuwaelewa hawa CHADEMA kazi yao kubwa ni kuset precedency ili ukweli ujulikane kutokana na matukio mbalimbali yanayowafika,wanaiambia jamii na dunia kwa mfumo wa kitaalamu sana, nadhani wana political strategist wazuri mno ,katika mambo mengi huwa wanawabana CCM na serikali wao bila kujijua kwa ujinga wao wamejikuta mara nyingi wamenasa na kuleta athari kubwa kwa mfano
Mara nyingi Chadema walikuwa wanalalamika kwamba wanaonewa na mikutano yao huwa inakatazwa na fujo huwa zinaanzishwa na Polisi bila sababu za msingi sasa kupiga mabomu ofisi za chadema nyololo ,kifo cha kikatili cha Mwangosi kimethibitisha hayo tumekubushwa sasa kuwa IGP Mwema hakupaswa hata kuwa kwenye nafasi hiyo ya IGP kwani alishapata kashfa yakuuwa wananchi kule Mbarali wakiwa mikononi mwa Polisi
Swala la Nape nadhani kisiasa lingeweza kuachwa lakini katika kesi kuendeshwa na ushahidi kuanza kutolewa siajabu wao CDM ,wanajua jinsi CCM ilivyo na fedha zinazotoka kwenye vyanzo mbalimbali yakiwemo makampuni makubwa yaliyopo nchini na unaweza kuwekwa wazi duh
Hawa CDM ni handle with care