Mkuu ondoa wasiwasi, haijalishi kama jaji atambeba ama la, kwa kuwa kesi zinaendeshwa hadharani na watanzania siku hizi tunaakili ya kupima ukweli, tutapima ushahidi na kutoa hukumu yetu ya kijamii hapa JF.
hapo naona aliyewashauri cdm kwenda mahakamani kawauza. ccm kwa kugushi achana nao, mbona hizo data watakuja nazo.
Napenda sana haya mambo kwasababu yanafanya maisha yawe mapya kila siku. Kwenye nchi yenye matatizo kama hii, ni sinema za namna hii tu zinazoweza angalau kupunguza machungu ya maisha.
CDM wamempeleka dogo Nape mahakamani wkt CDM hawana imani na mahakama sasa sijui itakuaje.
Tupo pamoja Radhia. Hakika
tumekuwa watu wa kuchomekewa mauza uza kila siku, Katiba mpya watu
wameipotezea, Ishu ya fao la kujitoa kwa mifuko ya jamii tumesahau,
mauji yanayofanywa na polisi kimya kimya yanapotea, nategemea mpaka wiki
ijayo tutakuwa tumesahau, migomo ya madaktari na walimu tumesahau
zamani, mfumuko wa bei na kupanda kwa gharama za maisha imekuwa wimbo
uliosahaulika! Tunahamia kwa malumbano ya Nnape na CDM, yanatija gani
kwa taifa? Let say Nnape amekutwa na hatia, na akalipa hiyo 3bn,
mlalahoi wa kule kwetu Ngadinda au Ndapata atanufaikaje?
Kutokana na vyanzo vyangu vilivyopo Mahakama kuu ya Tanzania Leo Nape amefunguliwa kesi ya madai na imepewa namba 186 ya mwaka 2012.
Kesi hii ni kuhusiana na madai ya nnape kuwa CDM wana pokea pesa kutoka nje ya nchi.
Tuendelee kufuatilia
Updates.
Inaitwa civil case no.186 of 2012 ,board of registered trustees of chadema ... Plaintiff versus nnape nnauye defendant .
Kutokana na vyanzo vyangu vilivyopo Mahakama kuu ya Tanzania Leo Nape amefunguliwa kesi ya madai na imepewa namba 186 ya mwaka 2012.
Kesi hii ni kuhusiana na madai ya nnape kuwa CDM wana pokea pesa kutoka nje ya nchi.
Tuendelee kufuatilia
Updates.
Inaitwa civil case no.186 of 2012 ,board of registered trustees of chadema ... Plaintiff versus nnape nnauye defendant .
Napenda sana haya mambo kwasababu yanafanya maisha yawe mapya kila siku. Kwenye nchi yenye matatizo kama hii, ni sinema za namna hii tu zinazoweza angalau kupunguza machungu ya maisha.
Ni wakati wa Chadema kuumbuka. Nape atakuja na ushahidi wa kutosha.
No reasech dont speech.
No reasech dont speech.
Duh, mkuu unauhakika au ushabiki?
Yaan ukiangalia cv za wote walioko cdm hutaamini, mnyika alidanganya amemaliza masters, kumbe alisoma bba ya evening na akashindwa mwaka wa pili, ndio shule ikaishia hapo,, leo hii kuongea tu ndiko anawamaliza wasomi . Je mnyika akapewa uwaziri atawaongoza nani? Jaman si kila kingaacho ni dhahabu, kipya kinyemi, raisi ghali,, watanzania hapa cdm ni maslai tu na walewale, wote walikimbia vyama ndio wakaona cdm, ndio maana tabidi wakope mwanasheria kutoka ccm, ccm wako kwenye utendaji wao wako barabarani wanachangisha ili wakanu nue mahelkopta wakati watanzania wako kazini.
Hiyo list akiisikia lazima agome kwenda mahakamaniAnasimama na Lissu Mahakamani pembeni kuna Prof.Safari au kuna kitu gani kwa upande wa Chadema ? Na hii ndiyo watanzania watajua kwamba Chadema wako serious sasa .Komesha kuropoka bila ushahidi .Marando am sure hatakosa hapa kuongoza kuutafuta ukweli .
mbona hawakumtetea Dr kafumu na huo umahiri wao?sijakuelewa vizuri, unasema ccm kuna wanasheria mahiri? unawa-refer kina nani! chenge? werema? mkono?
nakushauri ushirikiane na akili yako, usitumie mwili pekee kuongea.
Wangekuwa mahiri tusingeingia mikataba mibovu kila kona ya nchi!
Wangekuwa mahiri wasingeshindwa kesi ya drown one's.
Ukome kutuaminisha uzandiki.