Mimi sioni umuhimu wa hii kesi, ni kuendekeza uhasama wa kijinga. CDM walipaswa wampuuze Nape baas! Huku ni kupotezeana Muda na raslimali fedha
Babu slaa ameshamsaidia nape kwa kuuweka ushahidi hadharani japokuwa akasema sio mabilioni ni milioni 60> kwa mwaka sasa sijui ni ushahidi gani tena wanaoutaka
CDM hawana mchezo kabisa, nao wampeleke Marando kwa kusema mtoto wa kigogo kaingiza mtqmbo feki wa message ili ngoma inoge kabisa.
Nape kasema Chadema wanapokea pesa kutoka nje au wampokea. Sasa pesa kutoka nje zinaweza kuwa na maana pana.
Hata kama ni USD 500 walipokea kutoka kwa watanzania waishio USA Nape akitoa ushahidi wa kutosha basi kesi kwishnei.
Babu slaa ameshamsaidia nape kwa kuuweka ushahidi hadharani japokuwa akasema sio mabilioni ni milioni 60> kwa mwaka sasa sijui ni ushahidi gani tena wanaoutaka
Kuna chama gani duniani kisichopewa msaada? Je kosa la cdm ni kuwa na marafiki? Je urafiki na misaada ya China kwa ccm ina lengo gani? au ndo maana tuna wachina hadi wanaouza mbilimbi pale kariakoo?Ni kesi za kipoteza muda. Wakati slaa akitangaza hivyo alikuwa na wajerumani eti wamekuja kutoa somo. Mjerumani kakili wao wanafadhili chadema. Hata watoto wa chekekea wanajua kuwa chadema huwa inapewa tafu na wazungu.
Chadema naona nao wameanza kufilisika.
Sasa mimi najua siku zote hamna imani na mahakama na mnasema hao majaji wote vimeo sasa inakuwaje tena mnafungua kesi huko huko?
Ni kesi za kipoteza muda. Wakati slaa akitangaza hivyo alikuwa na wajerumani eti wamekuja kutoa somo. Mjerumani kakili wao wanafadhili chadema. Hata watoto wa chekekea wanajua kuwa chadema huwa inapewa tafu na wazungu.