CHADEMA wamfunga mdomo LUDOVICK


Hufa kabisa kuposti humu ujinga wako huu na ugeni wako na nahisi wewe ni MTELA MWAMAPUMBA.HUJUI KUPARAPHRASE UZI na una matatizo sana ..mgeni wa leo pumba nyingi,ukipewa SENIOR EXPERT MEMBER naacha na najiuzuru u-JF member.
 
You can't fight TRUTH with LIE.

CHADEMA can only delay but never put a stop to the day of reckoning.

Siku itafika ambapo Ukweli utajulikana.
 
Na wewe mkaanga sumu ni bora ungenyamaza tu make unajitekenya na kucheka mwenyewe yani wewe ni kituko hasa.

Kumbe sumu inakaangwa. Kumbe ni kweli ukweli unauma. Kwa akili zako ndogo unataka watu wakubaliane na huu utumbo. No way. It is too cheap.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Si unasema wewe ni Wakili na Ulikuwa Mahakamani siku hiyo? Sasa unalalamika nini havpa? Kwanini ukujipanga kumtetea hata hivyo hujachelewa unaweza kuwa Wakili wake! P..baff acha kutuchafulia fani yetu tukufu ya Sheria nenda kanywe viroba uko. Ikithibitika wewwe ni Advocate mimi naachana na Kazi ya Sheria.
 
Mawakili hujitambulisha kama learned people. Sasa huyu wakili ni wa namna gani huyu? Mimi naona anadhalilisha hii taaluma. Au ni wale wa vyeti?


Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
........Nina pata wasiwasi mkuu kinauche....pengine unaweza kukuta ndo mawakili wa serekali hao...
 

Wewe ni wakili, umeona mtu anaonewa badala ya kumsaidia ama kumpa ushauri unaishia kulalama kuwa umemuonea huruma na mbaya zaidi unasema apatiwe wakili. Huo uwakili wako umejikita kwenye nini hasa mpaka ushindwe kumsaidia mtu unayesema anaonewa.

Ama lengo lako ni kuaminisha umma kuwa huyo wakili unayesema ni mwenzako kuwa ni mbaya na hatendi haki.
 
Mtafute Tundu Lisu akupe dondoo.. la sivyo unaaibisha profession.
 

wewe umesema ni wakili sasa unalalama nini? Kama unaona anaonewa si ukamsaidie kesi kwa kuwa wakili wake? Acha kulalama kusiko na tija au ndio buku 7 inakuto roho mtoto wa mtu? Fanya kazi uheshimiwe kuliko kutumika kwa buku 7 mambo mengine mnazalilisha fani za watu wakili makini halalamiki anachukua hatua yani wewe unalia kama upo mikononi mwa ngaliba? Acha cdm iwafanye kitu mbaya 2014 na 2015 na hizo buku 7 zenu zinazo wafanya kuandika mambo yasiyo na tija eboo!
 

Kwa mamlaka niliyopewa na wananchi NAKUTEUWA WEWE UWE WAKILI WA LUDOVICK. Kuhusu malipo ondoa shaka Mwigulu Nchemba atalipa kwani fedha iliyotengwa hadi sasa Ludovick kapewa vipande 50 tu vya fedha.
 
TRUJILLO;
Join Date : 22nd July 2013
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0

Ndugu "wakili" So umejiunga JF kwa ajili ya kuweka hii post?

Hana lolote huyo! Ni ana nyingine ya wagang njaa tu!! Atueleze yeye ni wakili nani?
 
Kama wewe kweli ni wakili na unaandika habari namna hii basi Tanzania imekwisha!

Hapa kweli huyu bwana anaabisha taaluma yake!! Angetuwekea jina lake ili watu wajue kama kweli ni wakili au ni mtunza majarida mahakamani!! Unajua kuna watu wanapenda kujipa vyeo wasivyostahili kwa vile tu anafanya kazi mahali fulani. Ni sawa na ma Rural Medical Officers kuitwa madaktari huko vijijini!

Sasa hapa CDM watawezaje kumnyamazisha au kumzuia mtu waliyeshindwa hata kumpa wakili wala dhamana?? Kama ana ushahidi salama yake ni kufanya deal na serikali!!
 
Mkuu nimejaribu kujibu hoja zako kisheria, sikutaka kuingilia muundo wa ulichoandika (it is horrible kwa mwanasheria kuandia hivi). Kama kweli ni mwanasheria, jitolee kumwakilisha Ludo, ili aseme kila kitu hadharani na Ukweli ujulikane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…