CHADEMA wamfunga mdomo LUDOVICK

Kama wewe kweli ni wakili na unaandika habari namna hii basi Tanzania imekwisha!
Hawa ndiyo walipata digrii za kukariri na madesa tu mkuu na kichwani ni pumba tu. wakili gani anaandika pumba kama hizi? Wakili wa maana hawezi kuandika ----- huu. Huyu ni agent tu wa magamba ametumwa kupima joto hapa. Watanzania tumechoka na vipima joto hovyo vyao.
 
Kama wewe ni wakili, hata taratibu za mahakama huzijui. Hakuna yeyote anayeruhusiwa kuzungumzia jambo lolote ambalo liko mahakamani hadi hapo litakapotolewa maamuzi. Msaidie Ludovick kupata wakili
 
Ni wapumbavu wenzio tu ndio wataelewa upumbavu ulioandika hapa,kuandika tu hujui huo uwakili uliupata wapi!!! CCM ni kapu la wapumbavu kama wewe.
 
Mawakili hujitambulisha kama learned people. Sasa huyu wakili ni wa namna gani huyu? Mimi naona anadhalilisha hii taaluma. Au ni wale wa vyeti?


Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Chadema ni wanyama pole sana ludovick mungu atasimama upande wako tu.
 
Mawakili hujitambulisha kama learned people. Sasa huyu wakili ni wa namna gani huyu? Mimi naona anadhalilisha hii taaluma. Au ni wale wa vyeti?


Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Na wewe mkaanga sumu ni bora ungenyamaza tu make unajitekenya na kucheka mwenyewe yani wewe ni kituko hasa.
 
Unainajisi taaluma ya uanasheria kama kweli wewe ni mwanasheria.

Kwa hiyo spidi yote ya kujisajili leo na kuleta umbea wa mahakamani hapa ni ili tujadili kesi iliyoko mahakamani au unataka nini?
Kwa kitendo cha wanaCCM kumtetea LUDO inaashiria kuwa ni mtu wao.
 
Chadema ni wanyama pole sana ludovick mungu atasimama upande wako tu.
Hii ni aibu, LUDO si ni mtuhumiwa kama ilivyo kwa Lwakatare na akina Henry Kilewo?, kwa nini yeye anatetewa na wenzake wanakandiwa?
 
Itabidi ludovick ajiangalie sana hawa watu siyo wema watamuuwa ili kufuta ushahidi make wameua wengi sana mpaka hivi sasa.
 

Kwanini wewe usiwe wakili wake kuliko kutuletea udaku hapa.Mijitu mingine kwa akili ndogo eti nawewe ni mwanasheria kweli hamnazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…