sasa hivi kauli ya kujivua gamba ni maarufu mno
hata kwenye mazungumzo ya mapenzi au ya kijamii mengine
utasikia watu wakiitumia hii kauli.......mpaka kwenye magazeti ya udaku inatumika...
sasa swali hapa ni nani alianzisha kauli hiiiiii?????????/
ni mwenyekiti wa ccm .kikwete
wakati wa uchaguzi wa marekani kauli maarufu ilikuwa 'yes we can'
na mwisho kauli hiyo ikathibitisha kuwa obama ni maarufu na anakubalika zaidi.....
sasa kama watu wa chadema wanatakiwa kujiuliza je kuna kiongozi gani wachadema
ambae akizungumza kitu au kutoa kauli inashika moto kwa umaarufu?????????
unaweza dharau haya mambo lakini ni ishara tosha ya kuonesha
kukubalika au kutokubalika kwa kiongozi......
kuna mtu anakumbuka kauli ya john mc cain????????ipi???????
inawezekana umaarufu wa chadema na viongozi wao upo a little bit exaggerated....
vitu vidogo kama hivi vinaweza onesha jamii inawasikiliza zaidi kina nani....
au mnasemaje??????????????????????
sasa toka walipotambulisha
mpaka leo ungetegemea wamngekuwa na power zaidi sio????????
kujivua gamba imekuja lini?si juzi tuuu???????

kaka the boss unaonekana mvivu wa kufikiri
kwanza neno fisadi hadi leo bado lipo na linatumika hata ndani ya ccm yenyewe na serikarini hauwezi kuongea kujivua gamba bila kuongelea neno la mafisadi hapo mbele
chadema ina power kubwa sana kwa kuanzia unajua kwanini mswada wa katiba ulirudishwa kwa wananchi,unaelewa kwanini kujivua gamba kumetokea ?
fikiria kabla ya kuongea ikiwezekana omba na ushauri mkuu sio kuongea bila data
sasa toka walipotambulisha
mpaka leo ungetegemea wamngekuwa na power zaidi sio????????
kujivua gamba imekuja lini?si juzi tuuu???????
chadema wanacheza mchezo wa ccm
wa kukifanya chadema kuwa chama cha kupiga kelele na kuikosoa ccm
wangekuwa na akili wange jiweka kama chama kinachojiandaa kuchukua nchi
na wangeweza wangekuwa na kauli ambazo wananchi wanazijadili
chadema wangeweza wangewafanya wananchi waidharau kabisa ccm na wasi pay attention kabisa
na kauli za ccm
hivi kama mna uhakika wa kuchukua dola 2015 ya nini kupiga kelele za katiba mpya now??????
kwa nini msisubiri mchukue dola msimamie vizuri zoezi hilo???????
hamkuwaona akina odinga na odm????????????
umaarufu wa mtu unaweza pimwa kwa anachokiongea kinaifikiaje jamiii
hata kama jamii itakipinga kwa nguvu but still
ukiona jamiii kwa asilimia kubwa wamesikia au wanakijadili
basi huyo mtu ni maarufu sana au anakubalika sana.....