"CHADEMA Wamechakachua Picha"!

Mjengwa naye mbona wale wale wa zamani. Bado Ana mawazo ya kizamani. Hivi hajui kuwa kwa purukushani zile zinaweza mfanya mtu aende kuangalia kuna nini Jipya mpaka polisi wanaua.
 
Extraordinary claims require extraordinary evidence.So that sage Sagan said.

Kabla hujasema "wamechakachua" kuwa na uhakika ukiulizwa "wapi?" unaweza kuonyesha "hapa".

Anatumia fikra kupingana na uhalisia.
 
Hii inaashiria kuwa CCM imepitwa na wakati ni chama mfu. CCM byebye katika utawala wa nchi hii.
 

Nilifikiri una uhakika kumbe ni kubashi uwe unakuja na vitu ambavyo uko na uhakika navyo
 
kumbe mnafanya vitu kwa makusudi mkitegemea watu waogope ,kwenye ukweli hali ni tofauti na mnavyofikiria ,watu wamefika mkutanoni kama kawaida ,subiri wakishusha bendera ya mkoloni mweusi na kupandisha ya chadema sijui utaficha wapi uso wako .
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…