CHADEMA walishindwa kulinda kura au matokeo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA walishindwa kulinda kura au matokeo

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mwiba, Nov 27, 2010.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Nov 27, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Sioni sababu ya Chadema kupita na kulalami au kuilalamikia NEC kuwa ilibadili matokeo,hivi kosa lilikuwa la nani ? Matangazo yalitangazwa direct punde yanapopokelewa na sote tuliona kwenye runinga ambazo zilikuwa live ,sasa hawa Chadema baada ya kuona wameshindwa wamekuja na hoja za kukataa matokeo ,hivi hawakuelewa kuwa katika mchuano kunatokea mshindi na mshindwa.???

  Hivi hawa Chadema wanaelewa au hawaelewi ni kwenye point gani walishindwa ? Je walilinda kura vituoni ? Je walilinda Matokeo vituoni ? Je walilinda utangazaji wa matukio hayo ? Hapa utaona kuna point walishinda na kuna pointi walishindwa ni bora wajipange upya ili kutafuta njia za kulinda matokeo kwenye point zote.Kama ni mpira walikuwa wakishambulia tu huku wakisahau kulinda lango kuu ,pale ambapo magoli yakipitishwa !
   
 2. m

  mtemiwao JF-Expert Member

  #2
  Nov 27, 2010
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Cdm wazushi,walitakiwa wawe talling mbadala kwa sababu matokeo yalikuwa yanabandikwa vituoni,HAMKUJIPAnga subirini 2015
   
 3. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #3
  Nov 27, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Jitahidini kupotosha mtaumbuka tu
   
 4. d

  dotto JF-Expert Member

  #4
  Nov 27, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  NEC ya nani!! KAtiba inailinda NEC. NEC iwe huru CCM sio chama bali kilikuwepo zamani za KANU.
   
 5. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #5
  Nov 27, 2010
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Kwenye bold ndiyo kwenye makosa na walipopatia. Chadema walifanya vizuri, na kubalance mambo hayo niliyobold maeneo yafuatayo. Arusha mjini, Mbeya mjini, Ubungo, Kawe, Nyamagana na Ilemela. Hakika sehemu hizi kama si nguvu ya wananchi CCM hawakuwa tayari kuwatanga wapinzani washindi ila waliogopa madhara ya kiuchumi na kimiundombinu inayoweza kutokea kama watalazimisha vinginevyo.

  Kwa point hiyohiyo chadema walitakiwa kuionesha CCM na vyombo vyake vya dola kuwa wajiandae kwa worse kama watabadili will of the people. badala yake Dr Slaa na viongozi wa CHADEMA wakajifungia ndani na wake zao ulitaka nani alianzishe?. Laila odinga alitumia vizuri sana nguvu ya umma kwani kila neno alilolisema lilikuwa na shockwave kubwa sana miongoni mwa wafuasi wake na ndiyo wafuasi wa CHADEMA walivyojipanga. Kwa point hiyo CHADEMA watakuwa wamewakatisha tamaa wafuasi na wapenda mageuzi na 2015 watarajie the worse believe me or not. CCM wameishapata antidote ya kupunguza people's power nayo ni results announcement delay.
   
 6. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #6
  Nov 27, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hawa Chadema ni "mfa maji haishi kutapatapa". Hawajijui hawajitambui.
   
 7. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #7
  Nov 27, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,655
  Likes Received: 2,897
  Trophy Points: 280
  Naona CUF mmekuwa maafisa habari wa sisiem
   
 8. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #8
  Nov 27, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Wewe huitakiii mema nchi hii wala hujui thamani ya damu au uhai wa mwanadamu mwenzio
   
 9. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #9
  Nov 27, 2010
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Acha unafiki kijana, tena hunifahamu sikufahamu so usiniite mimi wewe£$%^&^$%^, Maeneo niliyoyataja hapo juu nani alikufa, wewe utakuwa pandikizi la chakachua, wapi niliposema watu wamwage damu huu ni uzushi wako. Watawala kila siku huwa wanapiga mahesabu ya madhara ya maamuzi yao kabla ya kuyatoa. Kilichofanyika Arusha, Mbeya et al kilitakiwa kifanyike nchi nzima na hakuna hata mtu angefanya fujo bila ya vyombo vya dola kuwa chanzo cha fujo hizo.
   
 10. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #10
  Nov 27, 2010
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Ulevi mwingine mbaya, wakati Dr. Slaa anakataa kuya tambua matokeo hata kabla ya final results haijatolewa ulikuwa umelala fofo kwenye mtaro? Acha ujinga angalia tunavyoporwa madini yetu na umasikini unatamalaki ndo ujue cha kuandika-siyo bange bange hizi!
   
 11. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #11
  Nov 27, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Hayo maeneo uliyotaja wananchi walilinda kura zao kwa utashi au kwa kuitikia wito uongozi wa Kitaifa? Tuko pamoja ila kauli yeyote toka uongozi wa juu wa Chadema kuhusiana na hatua za kuchukua dhidi ya matokeo yaliyochakachuliwa ingeleta maafa makubwa kuliko hata yaliyotokea Zanzibar January 27, 2001.
   
 12. m

  mtemiwao JF-Expert Member

  #12
  Nov 27, 2010
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Cdm mmepigwa bao kwa viongozi wenu kushindwa kutumia nguvu ya umma(waoga sana),ccm walikuwa na matokeo ya kila kituo kwa kutumia mawakala na hivo waliweza jua waongeze ngapi ili hesabu itimie ,nyie mnasubiri nec iwatangazie uchakachuzi,KUWENI WAPOLE,OPORTUNITY NEVER COME 2CE KAJIFUNZE KWA RAILA VINGIVYO HAKUNA CHA KATIBA WALA CHOCHOTE KULENI POSHO TUTAZOEA
   
 13. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #13
  Nov 27, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Sasa huna Raila aliingia Ikulu?
   
 14. m

  mtemiwao JF-Expert Member

  #14
  Nov 27, 2010
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Raila hakuingia ikulu lkn kenya ya wakati ule sio ya sasa,wameweka misingi endelevu kwa kizazi cha sasa na kesho(katiba,tume huru etc sio haba,the kind of legacy our leaders must sought.)
   
Loading...