security guard
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 799
- 603
Chadema ni wapinga maendeleo.
Chadema ni wapinga maendeleo.
Foxy at heat is a problem.Chadema ni wapinga maendeleo.
katika mkakati wake wa kukwamisha maendeleo ya wananchi na Taifa kwa Ujumla, inaripotiwa kuwa Madiwani wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya wamekwamisha ujenzi wa Chuo Kikuu Cha Mzumbe katika eneo la IWAMBI jijini Mbeya. Imedaiwa kuwa licha ya chuo hicho kulipa sh. bilioni moja kati ya mbili zinazotakiwa na Halamashauri ili kukipa ardhi ya kujenga chuo hiko, bado madiwani wa Chadema wamekuwa mstari wa mbele kupinga kuanza kwa ujenzi wa chuo hicho wakidai mpaka kimalize fedha yote iliyosalia. Meya wa Jiji la Mbeya Athanas Kapunga alisema hayo jana alipokuwa akizungumza na wakazi wa Jiji hilo katika mkutano wa hadhara uliofanyika eneo la soko Matola jijini hapa. Alisema mkoa wa Iringa unaongoza kwa kuwa na vyuo vikuu vingi, lakini Mbeya ina matawi ya vyuo vikuu huku kukiwa na vyuo vikuu kamili viwili ambavyo ni cha sayansi na teknolojia Mbeya (MUST) na kile cha Teofilo kisanji (TEKU) kwa mujibu wa Kapunga Mzumbe Kujenga Chuo kikuu eneo la Iwambi watakuwa wanazidi kuliboresha jiji hilo. Pia watasaidia kutoa ajira kwa wakazi wa jiji hilo na vitongoji vyake. Aidha alisema Halmashauri ya jiji itanufaika na ukusanyaji wa kodi ya majengo yatakayojengwa huku mamlaka ya Maji safi na Usafi wa mazingira jiji la Mbeya, Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) mkoa wa Mbeya nao wataweza kuongeza wateja hivyo kuinua zaidi uchumi wa jiji hilo. Meya huyo alisema CHADEMA kupitia madiwani wao, wanakwamisha kuanza kwa ujenzi huo, kwa madai kuwa jiji linataka kutoa eneo bure kwa Chuo hicho ama kuwauzi akwa bei nafuu.

Mbona mimi sioni tatizo hapo. Kama Mkataba ni Bil 2 na wametoa Bil 1, si wanatakiwa kumalizia iliyobaki. Tatizo lipo wapi hapo. Inakuwaje wa hela za kuanza ujenzi halafu la kumalizia kulipia eneo hawana.katika mkakati wake wa kukwamisha maendeleo ya wananchi na Taifa kwa Ujumla, inaripotiwa kuwa Madiwani wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya wamekwamisha ujenzi wa Chuo Kikuu Cha Mzumbe katika eneo la IWAMBI jijini Mbeya. Imedaiwa kuwa licha ya chuo hicho kulipa sh. bilioni moja kati ya mbili zinazotakiwa na Halamashauri ili kukipa ardhi ya kujenga chuo hiko, bado madiwani wa Chadema wamekuwa mstari wa mbele kupinga kuanza kwa ujenzi wa chuo hicho wakidai mpaka kimalize fedha yote iliyosalia. Meya wa Jiji la Mbeya Athanas Kapunga alisema hayo jana alipokuwa akizungumza na wakazi wa Jiji hilo katika mkutano wa hadhara uliofanyika eneo la soko Matola jijini hapa. Alisema mkoa wa Iringa unaongoza kwa kuwa na vyuo vikuu vingi, lakini Mbeya ina matawi ya vyuo vikuu huku kukiwa na vyuo vikuu kamili viwili ambavyo ni cha sayansi na teknolojia Mbeya (MUST) na kile cha Teofilo kisanji (TEKU) kwa mujibu wa Kapunga Mzumbe Kujenga Chuo kikuu eneo la Iwambi watakuwa wanazidi kuliboresha jiji hilo. Pia watasaidia kutoa ajira kwa wakazi wa jiji hilo na vitongoji vyake. Aidha alisema Halmashauri ya jiji itanufaika na ukusanyaji wa kodi ya majengo yatakayojengwa huku mamlaka ya Maji safi na Usafi wa mazingira jiji la Mbeya, Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) mkoa wa Mbeya nao wataweza kuongeza wateja hivyo kuinua zaidi uchumi wa jiji hilo. Meya huyo alisema CHADEMA kupitia madiwani wao, wanakwamisha kuanza kwa ujenzi huo, kwa madai kuwa jiji linataka kutoa eneo bure kwa Chuo hicho ama kuwauzi akwa bei nafuu.
Chadema ni wapinga maendeleo.
Huyu meya wa mbeya ambaye ana elimu ya standard four, ndiye mkwamishaji mkubwa wa maendeleo ya Jiji la Mbeya. Chuki yake kwa vijana ndiyo iliyosababisha hata vurugu kubwa Jijini Mbeya iliyosababisha shughuli za kiuchumi na kijamii kusimama kwa siku mbili.
Kzi yake ni kuishambulia CHADEMA kila siku na hata maeneo ambayo vijana wanafanya biashara zao, amekuwa akiwatshia kuwahamisha, kisa tu, waaunga mkono CHADEMA. Hiki kitu kilipelekea hata CCM kupoteza jimbo la Mbeya Mjini.
Suala la Chuo cha Mzumbe liko wazi, huwezi kuruhusiwa kuendeleza eneo ulilopewa offer bila kukamilisha masharti ya offer,ambayo ni pamoa na kulipia eneo husika. Hajui sharia za nchi, kama anajua anataka zivujwe kwa makusui, ambayo ni ufisadi.
Hao Mzumbe wanatakiwa kumalizia hiyo pesa ndipo waendelee kujenga chuo.Hata viwanja walijiuzia pale Iwambi hawajalipa tayari wameanza kuendeleza.
Huijui mbeya,humjui kapunga,unasema ana ugomvi na vijana kwa lipi?ulitaka waendelee kuuza kwenye ile barabara ya makunguru,ilihali soko linajengwa?na pia unajua kuwa hao unaowaita vijana ndio kawapa ajira kwenye timu ya mbeya city fc,
UNAPOKUWA UNAONGEA KITU,KAA UTAFAKARI,SIO UNAKURUPUKA KA UMEKULA BAMIA MBICHI
Hawa Chadema hawana lolote