Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,201
naomba kila mpenda mabadiliko aelewe chadema wako macho tena yamefunguka yote kabisa na wanajua kabisa ccm wana intelligent ya kizamani ya kuvuruga vyama vingine
yule mzee shibuda ilikuwa na mojawapo ya intelligent ya kizamani ya ccm,japo walivyoanza hakuna aliyejua😛eep:
hivi zito bado hajazoea madaraka ? Habadiliki na asinichukie kwani mm muislamu mwenzake manake ugonjwa wake udini , yaani hata akichangia hoja kikao cha ndani anatangaza ? Umaarufu gani anaotamani mbona anajulikana tz yote hata kipindi cha bunge c unaonekana badilika kaka
Mnyonge anyongwe ila haki yake apewe. Mbowe toka amechukua Madaraka ya uenyekiti toka kwa Makani kazi ya kujenga Chama aliyoifanya haipaswi kubezwa hata kidogo. Kama binadama anaweza kuwa na makosa yake, ila tumeona jinsi alivyo ijenga CDM hadi kuwa tishio katika siasa za TZ licha ya kukabiliwa na changamoto nyingi na mizengwe toka CCM na serikali yake na bado CDM inazidi kuwa imara nchi nzima. Tumeona wenyeviti wenzake jinsi vyama vyao vinavyo wa poromokea kama Kikwete na CCM,Lipumba na CUF, Mbatia,Mrema,Mtikila na blabla zingine. Anahitaji support yetu sote ili atimize yale tuyatakayo.Mbowe is the Best CEO for CHADEMA! hata watu wasipokubali lakini ni ukweli, mbona NCCR kipo chali? Mbona CUF kipo chali?
kama unategemea mabadiliko kupitia chadema umekosea, wanatumia udhaifu wako wa kufikiria na kukudanganya kuwa ni wapambanaji.sina haja ya kutibua ladha yako kwao lamsingi endelea kuwasoma na mwisho utaelewa kama hakuna mpambanaji
Kwani CCM Inavyowadumaza akili za Kufikiri hamuoni??? CDM inavyotaka kuwafumbua Fikra bado hamfumbuki...CCM Imewaabukiza Chronic Disease ya Kutokuwa Reasonable!kama unategemea mabadiliko kupitia chadema umekosea, wanatumia udhaifu wako wa kufikiria na kukudanganya kuwa ni wapambanaji