Unaweza kuwataja.Sidhani kama wapo makini. Mbona wamewachukua some senior government Intelligence officers kuwa members wa kamati kuu?
kama unategemea mabadiliko kupitia chadema umekosea, wanatumia udhaifu wako wa kufikiria na kukudanganya kuwa ni wapambanaji.sina haja ya kutibua ladha yako kwao lamsingi endelea kuwasoma na mwisho utaelewa kama hakuna mpambanaji
Hii nguvu inayotumiwa na CCM humu JF ingetumika kubuni mbinu za maendeleo lingekuwa jambo la heri lakini kama mbinu ni hizi za kuja kuudhi wanachama wa JF kwa kupinga chochote na kujaza page za thread kwa hoja za mabishano tu kamwe hawatafanikiwa.Hii ni pure propaGANDA, na watu wapo kazini hapa!!
Lakini amini usiamini, huu ni usanii wa kitoto unaopandwa hapa, na utafanyiwa kazi fasta!
Kwani mnashangaa nini?kutokujua fitina za ccm?ni mara ngapi CDM kimeandamwa na scandal kama hizi za kutengenezwa na CCM?jamani mbona tunakuwa wepesi wa kusahau? hebu tujikumbushe jamani tusidandie tu hoja,hii ndo siasa na ndo kazi ya propaganda,kama una roho nyepesi nakushauri kaa pembeni uwe mtazamaji vinginevyo nawe utapotea
kwetu sie tuliosoma political science haya mambo si ya ajabu kwa siasa zenye kuhusisha jamii ya watu wasiokuwa na elimu ya kutosha kupembua mambo kama ya watanzania
huyu anayesema Mbowe asipewe nafasi ya urais 2015 hili kalipata kutoka wapi,mbona 2010 alikaa pembeni?alafu tunaomba mtambue tokea CDM imeanza rekodi zinaonesha chama kimekua kkpanda chini ya Mbowe,angelikuwa hafai si tungeliona chama kinashuka viwango zaidi?tufikiri zaidi kuliko kuongea
Ha ha ha propaganda munaziweza hamsomi thread zilizoeleza ukweli ya nini kili jiri jitahidini labda mutaweza baada ya kutoa magamba yenu mukianza na mwenyekiti wenu wa chama cha magambaNasikitishwa na Mwenendo wa CDM kwa sasa! Nashauri viongozi waache tofauti zao jamani bado mapema mno na safari ndefu!