Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Baadhi ya Wanachama wa CHADEMA wahoji ulinzi wa Polisi kwenye Mkutano wao wa Uchaguzi huu ikiwa hawajawahi kufanya hivyo kwenye chaguzi zao zilizopita.
Hofu yao ni nini, kama hawana lengo la kufanya fujo? Au wanataka Mnyika aweke walinzi ili baadae waseme amewatumia kuwaumiza?Baadhi ya Wanachama wa CHADEMA wahoji ulinzi wa Polisi kwenye Mkutano wao wa Uchaguzi huu ikiwa hawajawahi kufanya hivyo kwenye chaguzi zao zilizopita.