CHADEMA wajue hawapo juu Kisheria

CCM ipo juu ya Sheria ndiyo maana inamzawadia jaji cheo akiwa katikati ya kesi
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Wamekejeli kwa namna ipi? Una mifano ya kejeli hizo au ni akili zako zinafikiri zimefikiri na kuandika hivyo..?

Unaelewa maana na dhana ya kuingilia mahakama kweli wewe? Au unadhani mtu akitaja kesi fulani tu iliyoko mahakamani basi anakuwa ameingilia mahakama...?

I think there is a need for you to impart yourself with knowledge about this so that you could be able to avoid speaking publicly things which you don't know...

Haki ni lazima itendedeke na ionekane inatendeka. Kinyume chake, hawawezi kuzuia watu kulalamika na kusema kwa sauti kubwa sana...!!

This is too low my friend...

Umekaririshwa ujinga nawe unaumwaga hadharani kwa watu wenye akili na ufahamu...

Wewe kwa hakika huelewi na hujui maana na dhana zima ya "kuingilia mahakama". Jipe muda ujifunze, utaelewa...

Otherwise acha kuanika ujinga wako hadharani ukiamini unajua wakati hujui...!

NB: Kama hukumu imetoka, maana yake shauri limeikwisha. Kwa hatua hiyo, ni ruksa kila mtu kujadili hukumu iliyotolewa na mahakama...!!
Mleta mada anasaka uteuzi kwa njia haramu za kishetani CCM ya sasa hugawa vyeo kienyeji pasipo kuzingatia utendaji kazi kwa uadilifu
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Madhambi ya CCM isiwe sababu ya CHADEMA kudharau Mahakama
CCM ndiyo wanaidharau mahakama kwa kuwatumia Polisiccm kuwabambikia kesi wapinzani, kutengeneza kesi za uongo ni kuidharau mahakama, kupeleka kesi mahakamani wakati unajua ni maneno ya kutengeneza tu ni kuidharau mahakama, kwa kifupi CCM ndiyo huidharau mahakama siku zote
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Zawadi ya vyeo kwa majaji wote ni kuhakikisha wanawaonea chadema kwa kiwango cha kutisha bila Aibu wala kumuogopa mungu
KIBINADAMU ANAYE KUPA KAZI TU UNAMTII NA KUMUOGOPA ILI USIJE FUKUZWA KAZI NDIO IJE KWAO MTU ANAKUTOA KWENYE MSHAHARA WA 3M MPAKA 6M ETII USIMTII. pathetic

Nchi ili iendelee tunahitaji mabadiliko makubwa sana tena mnooo vinginevyo hata miradi mikubwa kama SGR haitoisaidia Nchi itahujumiwa mapema tu na wahuni wenye kutaka maslahi. Yangu macho
 
Jaji amezawadiwa cheo akiwa katikati ya kesi ni Aibu kubwa ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi, kwenda kumuongeza mshahara mtu asiyejua PGO anayepuza ushahidi wa kweli ni wizi wa pesa za walipa kodi , uteuzi wake Utenguliwe haraka kuepuka Aibu kubwa Duniani
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
KIBINADAMU ANAYE KUPA KAZI TU UNAMTII NA KUMUOGOPA ILI USIJE FUKUZWA KAZI NDIO IJE KWAO MTU ANAKUTOA KWENYE MSHAHARA WA 3M MPAKA 6M ETII USIMTII. pathetic

Nchi ili iendelee tunahitaji mabadiliko makubwa sana tena mnooo vinginevyo hata miradi mikubwa kama SGR haitoisaidia Nchi itahujumiwa mapema tu na wahuni wenye kutaka maslahi. Yangu macho
Uko sahihi ndiyo maana kosa kubwa la nchi hii haijengi taasisi IMARA
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Wakati kesi ya Mwenyekiti wa Chadema ikiendelea ingekuwa vizuri kwa uongozi wa Chadema kuacha kutolea lugha za kejeli dhidi ya vyombo vya usalama pamoja na kuingilia uhuru wa Mahakama. Tunajua haki dhidi ya Mbowe itapatikana kama watanzania wengine. Kuendelea kuingilia uhuru wa Mahakama kupitia mitandao ya kijamii ama press conference katika makao makuu ya Chadema hiyo inaonesha chama hicho hakijakomaa kisiasa ama ni chama kinachotaka kuanzisha vurugu za kisiasa hapa nchini.

Sheria zina maana tu pale ambako zina heshimiwa na zinatoa haki
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
KIBINADAMU ANAYE KUPA KAZI TU UNAMTII NA KUMUOGOPA ILI USIJE FUKUZWA KAZI NDIO IJE KWAO MTU ANAKUTOA KWENYE MSHAHARA WA 3M MPAKA 6M ETII USIMTII. pathetic

Nchi ili iendelee tunahitaji mabadiliko makubwa sana tena mnooo vinginevyo hata miradi mikubwa kama SGR haitoisaidia Nchi itahujumiwa mapema tu na wahuni wenye kutaka maslahi. Yangu macho
Pesa za maendeleo zinatumika kuidhoofisha chadema ni vigumu Taifa kupata maendeleo
 
Wakati kesi ya Mwenyekiti wa Chadema ikiendelea ingekuwa vizuri kwa uongozi wa Chadema kuacha kutolea lugha za kejeli dhidi ya vyombo vya usalama pamoja na kuingilia uhuru wa Mahakama. Tunajua haki dhidi ya Mbowe itapatikana kama watanzania wengine. Kuendelea kuingilia uhuru wa Mahakama kupitia mitandao ya kijamii ama press conference katika makao makuu ya Chadema hiyo inaonesha chama hicho hakijakomaa kisiasa ama ni chama kinachotaka kuanzisha vurugu za kisiasa hapa nchini.
Wewekumalerusm Tetetea Fao la Kujitoa onyelarism?
 
Rais alipomteua jaji kuwa jaji kiongozi ni kuingiliwa uhuru wa mahakama ni kishawishi, ukumbuke Rais aliongelea kesi ya mbowe BBC kwa Lugha nyepesi CCM wameingilia mahakama kwa kiasi kikubwa ndiyo maana ushahidi wa upande wa mbowe wenye kuzingatia PGO haukuzingatiwa badala yake jaji wa CCM kachukua ushahidi wa Polisiccm ambao ni ushahidi wa kutengeneza kwa njia haramu za kishetani, CCM haipo juu ya Sheria
Mimi uwa nashangaa sana wanaomsifia mama kuwa mpenda haki Yule Mama Ni Ibilisi wa wazi wazi kabisa.
 
😁😁😁
AIgmal.jpg
 
Kitendo cha kuwabambikia kesi wapinzani tayari ni kuidharau mahakama huwezi kupeleka kesi ya uongo mahakamani kisha useme haujaidharau, mahakama, dharau kubwa ni kuitumia mahakamaccm kama chombo cha kudidimiza demokrasia na kuua upinzani kwa njia haramu za kishetani, CCM hawapo juu ya Sheria
 
Mahakama ya Tanzania tunaomba ijitathimini, kwa kitendo cha kutoa hukumu kama ile ambayo itadumu hadi kizazi kijacho kama rejea ni hatari sana kwa ustawi wa taifa huru lenye HAKI na Usawa.

Please, Please, kujisahihisha si dhambi.
 
Madhambi ya CCM isiwe sababu ya CHADEMA kudharau Mahakama
Mahakama yenyewe imeamua kujidhalilisha , angalia Jaji aliiyekubali kuongea kuhusu uteuzi ili amkandamize Mbowe , huoni jinsi alivyojiuza mwenyewe ?
 
Mahakama iliyokubali kutumikia siasa chafu itatoa wapi heshima? Kwa taarifa yako kwa hapa ilipofikia ccm, ni lazima machafuko yatokee ili turudi kwenye mfumo wa utawala wa sheria. Kwa sasa chama kilichopitwa na wakati kinanajisi utawala mzima wa sheria ili kiendelee kukaa madarakani kwa shuruti.
1634890945916.png
 
Machafuko thubutu!
Kamuulize Lissu aliyeitisha maandamano yasiyokoma,Kama alionekana siku hiyo.
Machafuko ya JF mtandaoni sawa.
 
Back
Top Bottom