Nimeipenda hii ya blue...........sasa wanakimbilia kwenye mahakama ya afrika mashariki kutafuta haki
Wamejiondoa au wamesoma alama kwamba watapigwa chini vibaya!
Wamejiondoa au wamesoma alama kwamba watapigwa chini vibaya!
Mambo ya Tanganyika yanakuhusu nini? Hakuna habari barazani??
Wamejiondoa au wamesoma alama kwamba watapigwa chini vibaya!
Kuna watu wabaguzi kama wazanzibar....Mkuu punguza ubaguzi
mpumbavu ata ukimweka kwenye chupa atataka kupga sarakasi.
Mkuu punguza ubaguzi