Chadema waitosa rasmi CUF kambi ya upinzani bungeni.

Baba Tina

Senior Member
Dec 22, 2010
131
2
Chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) kimesema hakiko tayari kukishirikisha chama kilichoko serikalini kwenye kambi ya upinzani. Katibu mkuu wa chama hicho amesema chama hicho cha chadema kiko tayari kuvishirikisha vyama vingine kwenye kambi hiyo endapo vitasitisha uhusiano na chama cha CUF ambacho kinaunda serikali ya zanzibar pamoja na chama cha mapinduzi. Source: TBC news leo usiku.
 
That is wat i expect, CUF should wait until 2015
 
Saaaafi sana chadema, cuf tayari sio wenzenu wana serikali wao na ccm huko zenj, wasilete tabia za kikahaba kuungana na vyama viwili tofauti, ktk nchi moja
 
CUF wamekuwa wakiunda kambi ya upinzani Bungeni kwa miaka 15 sasa na hakuna chochote cha maana walichokifanya. Time for change.

Lakini hata hivyo wawashirikishe NCCR Mageuzi -- hasa wale vijana Kafulila na Mkosahela.
 
Back
Top Bottom