Chadema waitisha serikali hadi kukimbia bungeni

why

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
203
82
Hapo ndio utajua chadema ndio inaongoza nchi pale serikali inapoamua kukimbia kwa hofu ya kutoweza kujibu hoja za chadema bungeni.

Huu ni wakati wa kutafakari kama serikali inaamua kuingia chocho je tuna nini hapo?
 
Mkuu nimeona hiyo yasemekana ni mvutano kati ya seriakli na chadema juu ya mswada wa fedha ambao umeainisha kodi zilizomo katika bidhaaa hivo serikali imeamua kukaa nje ya bunge na chadema na kukubaliana baadhi ya hoja zilizopelekwa na chadema ingawa chadema wameendeleakuibana serikali katika baadhi ya maeneo.
 
Mkuu nimeona hiyo yasemekana ni mvutano kati ya seriakli na chadema juu ya mswada wa fedha ambao umeainisha kodi zilizomo katika bidhaaa hivo serikali imeamua
kukaa nje ya bunge na chadema na kukubaliana baadhi ya hoja
zilizopelekwa na chadema ingawa chadema wameendeleakuibana serikali katika baadhi ya maeneo.

sasa serikali inaanza kuwa sikivu!
 
hadithi za alinacha,ni wapumbavu tu ndo wanao ziamini. Kweli watz tumefika mwisho wa kufikiri kama kila mtu analeta topic halafu watu wanashabikia bila hata kufikiri kidogo. Kweli mtanzania alikua anastahili kutawaliwa milele na wazungu.
 
Kama hii si habari ya kweli, ukweli ulionao ni upi? Hoja inajibiwa na hoja maana wengine si wafuasi wa vyama, bali wa Tanzania.
 
Kwa kweli hawa jamaa wanalala macho siku hizi maana kila wakikurupuka wanakurupushwa
 
hadithi za alinacha,ni wapumbavu tu ndo wanao ziamini. Kweli watz tumefika mwisho wa kufikiri kama kila mtu analeta topic halafu watu wanashabikia bila hata kufikiri kidogo. Kweli mtanzania alikua anastahili kutawaliwa milele na wazungu.
Wewe ni mmalawi?
 
Habari hii nadhani wengi tumeishuhudia live kutoka bungeni. Sidhani kama ni ya kufikirika. Ila inawezekana tukawa na tafsiri tofauti kutegemea mtazamo na interests
 
hadithi za alinacha,ni wapumbavu tu ndo wanao ziamini. Kweli watz tumefika mwisho wa kufikiri kama kila mtu analeta topic halafu watu wanashabikia bila hata kufikiri kidogo. Kweli mtanzania alikua anastahili kutawaliwa milele na wazungu.
Hi Ni kweli mkuu nakuunga mkono kwa asilimia 100%
 
Back
Top Bottom