juzi nimecheka mpaka mbavu zimeniuma kusikia kiongozi Dkt slaa ajificha kwenye masanduku ya spika, kweli chadema mwacheni mzee wa watu ajipumzikie mikiki mikiki ya siasa haiwezi, wakaitisha maandamano nchi nzima utadhani chama chenyewe kipo nchi nzima kumbe ni Arusha, polisi wakatia mkwala ole wake atakaye andamana, wakafyata mkia. ndipo ninapowakumbuka cuf wao huwa wanasema wanapenda maandamano yanayozuiwa na polisi na wanapo waona polisi mzuka unapanda, cuf chukueni nafasi yenu mtukomboe.
mkubali, mkatae chadema ni chama cha udini na waislam hawawapeni kura zao ng'ooooooooooooo
mchuma janga hula na wakwao. Endelea kupandikiza chuki kwa watanzania.cuf ni kweli mnaweza recodi zenu zinafahamika, tunawaomba cdm ambao ni ccm ( c ) wajifunze kutoka kwenu waache tamaa hawawezi kufanikiwa kama, wanashindwa hata kufanya kazi na vyama vingine,hivi wataweza kuiongoza tz yenye watu wenye dini tofauti kabila tofauti, au ndio itakua serikali ya wachaga watupu na wakatoliki watupu. Ushauri mafanikio ya watanzania yanahitaji umoja mctudanganye.
Kwa nini maandamano ya CUF mara nyingi hufanyika siku ya Ijumaa baada ya Swala ya Ijumaa????