Chadema waifanyia hila cuf.....?

Hivi vita vya CUF na Chadema ni faida kwa CCM.


RITZ: yaani kumbe leo ndio kwanza umelijua hili? kumbe kuongea pumba kwako huko nyuma ulikuwa hujafunguka macho! Karibu.
 
CUF kwani ni chama cha upinzani? Kiroja kikubwa.....
 
Hapo kwenye blue, ni kweli mchezo mchafu umefanywa na ccm na maelezo ya Julius Mtatiro yanamaanisha kuwa cuf ni ccm b
 
siasa za chadema ni siasa za kijinga kabisa, uongo wa kuzua unamwisho wake. tatizo cdm ni ukristo ndio maana mgombea wake hatakiwi.
pole shehe Ponda umetoka lini rumande?Mwenzako Zitto kabatizwa siku hizi si umesikia anataka kugombea urais kwa kupitia chama cha wakristu!
 
wewe unataka ile ya ccm ya kutoa rushwa kama wazazi wao na ngumi live kama zile za Dar?kipi ni kijiweni style?

nyinyi Chadema mnashangilia CCM wanayowafanyia kule Wazanzibari kwa upumbavu wenu mwisho wanawachoma mikuki ya matumbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…