Hivi unamgomeaje Tendwa halafu unaendelea na kazi za kisiasa? Si uache siasa kabisa basi.
i hate the way he talks, tendwa huongea kama mtu wa huakika sana lakini ukisikiliza kinachotoka nyuma ya pengo ni ugolo wa ajabu! jamaa ana boa vibaya sana sema hajijui, naongea kutoka ndani ya rohoo yangu jamaa simpendi jinsi anavyo jiona mjuaji kumbe hakuna kitu
Kama kawa chama cha kususa, migomo na kutaka nchi isitawalike...
angeita CCM,CUF na polisi ndio wana ozoefu wa kufanya fujo.CDM wana uzoefu wa kufanyiwa fujo..Labda CDM ndio wangetoa semina kwa Tendwa ili aweze wafundisha wengine.
Hivi unamgomeaje Tendwa halafu unaendelea na kazi za kisiasa? Si uache siasa kabisa basi.
angeita CCM,CUF na polisi ndio wana ozoefu wa kufanya fujo.CDM wana uzoefu wa kufanyiwa fujo..Labda CDM ndio wangetoa semina kwa Tendwa ili aweze wafundisha wengine.
Wazo lako kama zuri Vile!! Ningeomba yawepo Masharti ya Kuhudhuria ila Tendwa aelezwe Ukweli!! Kwani Namwona Tendwa kama Hajali Vile kwani 'Kila Jumapili anatinga maeneo ya Kimara Korogwe na kufunguliwa Geti na Kujificha Huko!! Duh Viongozi na NJI HII?
Kwani Tendwa ndio siasa za nchi hii? Nakumbuka Mzee Makamba alishawahi kumwita Karani wa kuandikisha vyama. Chadema wako sawa.Hivi unamgomeaje Tendwa halafu unaendelea na kazi za kisiasa? Si uache siasa kabisa basi.
Hivi unamgomeaje Tendwa halafu unaendelea na kazi za kisiasa? Si uache siasa kabisa basi.
Dawa zinamuathiri...... He is sickHuyu Tendwa ni kibaraka mzoefu na anachafua hali ya hewa TZ badala ya kuleta utulivu