Utafiti huu umeufanyia wapi wakati marekebisho ya daftari kuu la kura yanaendelea?inasikitisha sana kuona mnajenga tamaa ambayo tatizo lake ni kuja kukataa matokeo ,mkifikiria hasara na mnavyodanganyika na kujaa kwa wasio miliki kadi za kupigia kura ,hivi mnaelewa ya kuwa wale wanaohudhuria mikutano hawana sifa za kupiga kura ? Na zaidi ni wapenda shangwe na ngoma.
Sio mchwa ni sangara ila hawa wawe 50 kwa mie mmoja tu ,watanichoka !
Utafiti huu umeufanyia wapi wakati marekebisho ya daftari la kura yanaendelea?
KATAFUTE HELA UBWAWA WA WATOTO BANA,au mambo yote kwa jiran?
Ha ha haaaa...u hv made my night!Mambo yote kwa jirani .....mwambie akatafute hela ya kununua ndizi mbivu tu!
Utafiti huu umeufanyia wapi wakati marekebisho ya daftari kuu la kura yanaendelea?
KATAFUTE HELA ya UBWAWA WA WATOTO BANA, au mambo yote yatakuwa kwa jirani?...lol!
Huwa nawashangaa sana hawa CDM hususan wapenzi wao na wale wapiga debe humu JF ,niwaonavyo wapo katika daydreams zinazowapotezea muda.
Kushinda uchaguzi wa Uraisi kwa 2015 ni ndoto ambayo haitatimia na hizi mishemishe za kutangatanga kuzunguka Tz nzima ni kujitafutia hasara ambayo itakuja kuwa chachu ya kusambaratika ,ukweli kuna wachache ambao wanafaidika na mzunguko huu na kujilimbikizia hela.
hondechonde CDM msije kusema hamkuambiwa kuwa ushindi kwenu ni mwiko ,kwanza muelewe kuwa mizunguko hii ya sangara ni mipango ya wachache ambao watatumia mkwanja huo kujitajirisha.
Mkuu hizi kejeli na dhiaka dhidi ya Waislam sijui kama unajua unazidi kuialibia Chadema dhidi ya jamii ya kiislam...JF inasomwa sehemu kubwa ya Tanzania wewe unaweza kuona unachoandika hakina madhara lakini kinaichafua Chadema...ni ushauri tu napita.
Hivi hili la mradi wa kujitajirisha kwa baadhi ya makobe kuzunguka Tz nzima wakitumia mwevuli wa sangara.hulioni kama ni jipya ,funguka !
Ritz hivi unafahamu wapi nitapa chips usiku huuSubiri kidogo Chadema Addicted sasa hivi watajitokeza kupambana na wewe...ni sawa sawa umechokonoa shimo la mchwa.
Sasa chadema nani kuwa rais 2015 maana slaa ndio babu tena.. Mbowe hana mvuto., zitto wanamwita ccm b.. Wamekwisha habar yao