CHADEMA waanza kumkumbuka Dr Slaa


Kwa maombi ya gwajima ama kweli upepo utageuka...mjipe moyo
 


mfuate aliko kama umemkumbuka
 
Kwa muktadha huo, maana yake majimbo yote waliyoshinda UKAWA wameiba kura maana asifuye mvua imemnyea. Haiwezekani anaposhinda mshindani wako kaiba, unaposhinda wewe ni halali. Tume inapotangaza John John Mnyika kuwa mshindi wa jimbo la Kibamba, Tume hiyo huwa ni huru inapomtangaza DK Deodarous Kamala Jimbo la Nkenge haiko huru. Ni ubishi usiomithirika.
Swala la Tume Huru siyo jipya. Kama UKAWA wangekuwa makini wangekataa kuingia kwenye uchaguzi bila Tume huru. Kwa kukubali kuinga kwenye uchaguzi bila ya Tume huru kuna maana mbili tu: Ama waliiamini Tume kuwa ingetenda haki ama walijua kuwa hawangeshinda ila waliandaa mazingira ya kulalamikia endapo wangeshindwa.
we mweu kwa lipi aombwe msamahaa kwa uho ushindi wa wizi ata yeye angeibiwa tu kwani mwizi achagui nyumba ya kuiba
 
Acha mambo yako ya kitoto! Kwa hiyo na unguja utasema ukabila? Mnatafuta njia ya kutokea et eeeeh! Mtanyooooka tu jipange Ukiwa!
 
Askari mahiri anapotofautiana na wenzake atatakiwa kuendeleza mapambano Dr Slaa kawageuzia bunduki wenzake na kuwamiminia risasi ataombwa radhi kwa lipi ?.
 
UKAWA kweli hawajapoteza kitu,maana wamefanya

Profesa Lipumba - Profesa Jay

Dr.Slaa - Mr.Sugu

Wote wasomi,no kulishiwa data
 
Ni bora uilambe sumu kwa ulimi,utakunywa mkojo utaitapika.....!
 
Acha upimbi wewe serikali imetumia mabavu kama hapa kahama unaweza sema ccm imeshinda kihalali, kituo cha wafanyakazi wa mgodi wote ni ccm.

wakati hakuna mfanyakazi ccm hata mmoja

Nasikia mzee Lembeli alipokea matokeo akiwa hospitali baada ya kupata mshituko! Nasikia Wenje naye yupo Sekou Toure baada ya kuhesabu kura mara 50 akirudia hadi mawakala wake wakamkimbia baada ya kuchoka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…